21 February
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 3,299
- 2,843
Si mliwataka Madrid haya hao hapo sasa
Tumecheza mpira mzuri,bahati haikua kwetuSalah aliitaka Madrid, haya kapewa,
Na hapo Ramos vs Ronaldo hawapo. Woiiiiiiiih
Kwani wametufunga kirahisi,huoni wao wenyewe mpk wanalia, bahati haikua kwetuSi mliwataka Madrid haya hao hapo sasa
Ulidhani Madrid ni sawa na vitimu vyenu vya EPL mnavyopiga nyumbani na ugenini, vinawatangulia mnarudisha na kuvifunga?Mpira bado huu, tunarudisha na tunaongeza jingine, tunashambulia kama nyuki.










Big ass never walk aloneImagine being us![]()
Kufungwa ni kufungwa tuKwani wametufunga kirahisi,huoni wao wenyewe mpk wanalia, bahati haikua kwetu



Kimoja cha nguruweeKwani wametufunga kirahisi,huoni wao wenyewe mpk wanalia, bahati haikua kwetu
Hapa tushapigwa kwakwel fainal mbili na timu moja lakn tunashindwa kuifunga
Timu za Spain sio timu rahis sidhan kama kuna mwingereza amewah kuifunga timu ya Spain fainali iwe Europa au champion league
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app