Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi inakuaje timu yenye mafanikio makubwa kama Real Madrid inakosa jukwaa humu Jf halafu Barcelona ikawa nalo?

Bado najiuliza hili swali sipati jibu.

Haya sisi wa Real Madrid tu comment wapi?
 
Imekuwaje goal la benzema likawa offside? Kwa kweli sijaelewa. Labda kama pale alipoanza kukimbia lakini picha za marudio hawaonyeshi hilo tukio.

Tushukuru Mungu maamuzi ya VAR. Tungekuwa na hali mbaya sana.
 
Hapo kwa Manchester United hapo kikwazo kikubwa cha yeye kuwa na UCL tatu ni Pep Guardiola kumbuka final ya 2009/2010 pamoja na 2011/2012 The same to you mpaka sasa mngekuwa na EPL tatu ila kikwazo kikubwa ni Pep Guardiola na pesa zao za mafuta😀😀😀.
Bhanaaaaa oil money noma siku hawa jamaa wakianza chukua UCL naona itakua back to back kama ambavyo sasa EPL wanataka kuweka hati miliki.

YNWA
 
Imekuwaje goal la benzema likawa offside? Kwa kweli sijaelewa. Labda kama pale alipoanza kukimbia lakini picha za marudio hawaonyeshi hilo tukio.

Tushukuru Mungu maamuzi ya VAR. Tungekuwa na hali mbaya sana.
Hukubaliani na wataalamu waliopo ulaya wewe
 
Walivyotolewa PSG liver hawakutia maji
Walipotolewa Chelsea Liver hawakutia maji pia
Walipotolewa City mkajifanya majogoo
Sasa leo mbane kende
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom