Narekeremo
JF-Expert Member
- May 20, 2021
- 722
- 768
Fabinho anakila dalili za kula umeme.
Tuliza makalio weweREVENGE YA NYOOOOKO
Lipo mbna, na wanafurusha hatareeeehHivi inakuaje timu yenye mafanikio makubwa kama Real Madrid inakosa jukwaa humu Jf halafu Barcelona ikawa nalo?
Bado najiuliza hili swali sipati jibu.
Haya sisi wa Real Madrid tu comment wapi?
Nipo niende wapi? Maana umeanza kujipitisha na kanga moko kwa wanaumeupoooo?

Sioni mipango ya Liverpool kupata goli naona washambuliaji wanakimbia kimbia ovyo tu











Mlongo uvi kwoki? Mbona nikuwene lepa? Haya nijovelahi kyani kwenuko?Luiz Diaz n mchezaj ambaye anatakiwaaingie bado dk 20 awe Kama game changer pale timu pinzan inapokuwa imechoka
Wenzetu camavinga humtumia kwa namna hyo
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app







Mlongo tifwaa kuni nivii pa salenda hapaMlongo uvi kwoki? Mbona nikuwene lepa? Haya nijovelahi kyani kwenuko?![]()
Kuku asanteni kwa kushiriki kaingia game changer, Eduardo Camavinga awaviringishe dakika chache zilizobaki ili mkapande ndege.Camavinga IN