King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,367
Sawa
Lakini kama sikosei ni wewe majuzi tu ulikuwa unadai tuwe na hope kuhusu hili na tuache mpira upigwe uwanjani.
Mimi naona tusubiri tu baadaye kidogo tutajua lipi ni lipi..
Tutatoboa au kutobolewa..
Hapana! Sijawahi kuzungumzia hilo unaloninukuu! Kitu nilichowahi kuongea hapa ni kumkosoa Mdau/Mshabiki wa Liverpool ambaye kila Mechi tunatocheza kuwa analalamika tunafungwa ndiyo nikamwambia atazame mpira kwa matumaini.
Hivyo kwa aina ya post zangu huwa sizungumziagi Ubingwa.

