Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hahaha Roma sioni wakamtoa hivi hivi ni kweli Arsenal walitajwa kumtazama lakini Mourinho itakua ngumu kumwachia.Italy ligi nyepesi kule ..alafu uyu dgo akipata kocha Kama Klopp au ata arteta Basi ata shain sana
#CFC💙💙💙
Dogo ana kipaji na chini ya Mourinho ame improve sana.
Klopp sijajua lini atarejea kutumia namba 9 halisi kwa sasa naona hii false 9 inampa anachokitaka.
YNWA






