Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
🤭 🤭 🤭 🤭 🤭 🤭 🤭 🤭 🤭 🤭
Asanteni kwa kushiriki vijana wa Ethad see you next season.
YNWA
Mbona hata wewe ni msindikizaji tu kila mtu anajua tarehe 28 ni timu gani inaenda kubeba clKabisa ndugu inafika mahala unaangalia msimu ulipo unaangalia pia washindani wetu wa jadi kama Manchester United walipo na hakika hata hio nafasi ya pili unasema ni BIG UP JOB WELL DONE.
Nina amani kama zote sababu huu msimu nadhani hata Klopp ameji sapraiz maana hata bookies hawakua na muda na sisi ilikua ni Bayern, Chelsea, PSG, Manchester City kushinda UCL lakini wote hao nje... Ukija EPL ilikua ni Manchester City na Chelsea wanapewa nafasi zaidi lakini hata huyo Manchester City anachezesha wagonjwa akina Dias ili mradi apate ushindi maana kijasho kinamtoka.
YNWA
Unashabikia timu gani aisee.Mbona hata wewe ni msindikizaji tu kila mtu anajua tarehe 28 ni timu gani inaenda kubeba cl
Kipara bauna kwani sie ndio Real Madrid jamani wale ni nyeupe nyeupe sio ni OG Red hahaha...Kashajipa kombe la EPL tayari
View attachment 2217439
Aisee kuna Yule Dejan kuvuleski WA spurs nao sio haba WAmepatia ule usajili Kwa januaryView attachment 2217382
Usajili bora msimu huu EPL.
Huyu na Eriksen wa Brentford ni contenders wa usajili bora wa msimu huu.
YNWA
Italy ligi nyepesi kule ..alafu uyu dgo akipata kocha Kama Klopp au ata arteta Basi ata shain sana
Dejan naona Juventus wakiwagomea kuuza yupo kwa mkopo ana kipengele cha kununua kipo na Conte ameshasema msimu ukiisha watamnunua pale wamepata jembe haswa ana miaka 22 tu .Aisee kuna Yule Dejan kuvuleski WA spurs nao sio haba WAmepatia ule usajili Kwa january