Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2217863
Ugenini St Marys kesho saa nne usiku.

Gemu itakua tamu sana hii.

YNWA
Kesho kuku anaenda ku draw tena Villa park
Pona yao labda Steven Gerrard awahurumuie, uzuri FA tayari imeshatoa onyo kwa Gerrard.
Screenshot_20220509_202132.jpg
 
Nyinyi ndiyo mkaona kumsimamisha spurs Arsenal tutafaidi siyo?
AsaniAli analilia mbeleko,
Nyie sio watoto yatima pambaneni na hali zenu nyau nyie.
Tukutane kwenye futuhi za Alhamisi huko matopeni.
 
Tafuta chapati mwenzako wa conference league mpige stori
UEFA ndio bye bye tena hio lazima makasiriko yawepo, Maana nyinyi kuja kushiriki tena Champions League ni miaka 10 mbele baada ya Kroenke kufariki.
Top4 mwakani kuna Man city, Liver, Chelsea, Man Utd, Newcastle, Spurs yaani hawa 6 ndio watakua na competition ya top4, nyinyi kuja kushiriki CL mpaka siku sheria zikidilishwa badala ya timu 4 iwe ni timu 8 ziruhusiwe kwenda CL na nyinyi ndio mtakuwepo.
 
Na watambeba naona wazee wa Liverpool wako busy na salah wanamsahau mane. Nisingependa aondoke but ukimuongezea salah dolari sioni why usimuongezee Mane au Van dyk au Anorld
Kama hawana muda na Mane hakika huyu ataodoka. Ikumbukwe kambi ya Mane washa fuatilia wakaambiwa ofa mpya mpaka June 2022.
OFA alipewa mwaka jana akaichomoa wakataka zaidi Liverpool wakawajibu wavute subira sasa Liverpool wanasema waoo wako tayari kuongea na kambi ya Mane.

YNWA
 
Home Boy hahaha... Bhana baada ya Klopp kuongeza mkatabat hakuna tena cha mtoto wa nyumbani kwake sasa ni kazi kazi

YNWA
Tusubiri tuone, maana mpaka FA wameamua kutoa onyo itakua kuna viashiria fulani wameviona au wamevihisi vinaweza kutokea.
Kikubwa wekeni nguvu nyingi kwenye Uefa, maana ikitokea bahati mbaya mkakosa makombe yote matatu PL, CL na FA hakuna atakae waelewa na akina sisi huku ndio mtakua mmetupa sababu ya kuchonga balaa.
 
Hahahaha duuh you have made my day.

Yaaani ushabiki raha sana ukiwa una shinda consecutively ishu sasa vikaanza sare na vipigo

Tutapambana

YNWA
 
UEFA ndio bye bye tena hio lazima makasiriko yawepo, Maana nyinyi kuja kushiriki tena Champions League ni miaka 10 mbele baada ya Kroenke kufariki.
Top4 mwakani kuna Man city, Liver, Chelsea, Man Utd, Newcastle, Spurs yaani hawa 6 ndio watakua na competition ya top4, nyinyi kuja kushiriki CL mpaka siku sheria zikidilishwa badala ya timu 4 iwe ni timu 8 ziruhusiwe kwenda CL na nyinyi ndio mtakuwepo.
jiandaeni kubeba vikombe
 
View attachment 2217425

Bobby to score in Paris hahaha huyu ndio the man of the big occasions.

Come on team physio awe sawa kupambana Paris tutoke kifua mbele

YNWA
bobby ni wa muhimu mno kuna game ambazo tunashindwa kupata nafasi behind the lines kwa namna anavyo prease akiwa katika form yake hata game dhidi ya totenham tungeimaliza mapema mno maana chances zingepatikana. kiukweli tunamuhitaji mno kwny fainali awe katika kiwango chake
 
Klopp amesema kesho atapata dakika kadhaa ni habari njema sana maana wachezaji wengi naona kabisa wamechoka.. Nimetazama marudio gemu ya Tottenham Hotspurs nikaona dogo Trent kuna muda alikua kama anatembea huku Kane alishaona wapi pasi anaipiga na Trent hata goli lilivyofungwo alitarajia iwe kama ni offside.. Wamecheza high octane football miezi hii mitatu hivyo sishangae ninayaona sasa..

Bobby ataleta nguvu mpya maana hakawa kikosini karibia mechi 6 zilizopita hivyo ana reserved energy ya kuleta mabadiliko.

Mdogo mdogo atakaa sawa aka the pressing monster.

YNWA
 
Tusubiri tuone, maana mpaka FA wameamua kutoa onyo itakua kuna viashiria fulani wameviona au wamevihisi vinaweza kutokea.
Kikubwa wekeni nguvu nyingi kwenye Uefa, maana ikitokea bahati mbaya mkakosa makombe yote matatu PL, CL na FA hakuna atakae waelewa na akina sisi huku ndio mtakua mmetupa sababu ya kuchonga balaa.
Ilo onyo likowapi au ndo unaleta zile akili za nyumbu humu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom