Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kabisa ndugu inafika mahala unaangalia msimu ulipo unaangalia pia washindani wetu wa jadi kama Manchester United walipo na hakika hata hio nafasi ya pili unasema ni BIG UP JOB WELL DONE.Umeongea kimpira Sana mkuu ..Mimi kwa Sasa mukashinda nitawapongeza na mukipigwa Basi nitawapongeza pia ...
Nina amani kama zote sababu huu msimu nadhani hata Klopp ameji sapraiz maana hata bookies hawakua na muda na sisi ilikua ni Bayern, Chelsea, PSG, Manchester City kushinda UCL lakini wote hao nje... Ukija EPL ilikua ni Manchester City na Chelsea wanapewa nafasi zaidi lakini hata huyo Manchester City anachezesha wagonjwa akina Dias ili mradi apate ushindi maana kijasho kinamtoka.
YNWA


