Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Mhmh bwana dogo hana consistent especially akiumia hua anachelewa sana kurudisha makali yake.Kwani Jota sio n.9 halisi?
Pale mbele Jota anacheza pia upande wa Mane ana jitahidi ila tangu atue Diaz ni kama ile namba anajimilikisha kibabe.
Nilimaanisha namba 9 halisi mwenye link up play kama Darwin au Kane vile.
YNWA

