Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia

ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua

Wewe ndio ujui mpira high line defense nayo ni mpira wakizamani.

Man U ndio anacheza mpira wakizamani ndio maana anafungwa kila siku. Wewe kuanzia msimu huu uanze utakuwa umeangalia mechi moja tu hiyo.

Liverpool anacheza mpira wa kisasa ndio maana anapata matokeo kila mechi mpaka saizi mashindano yote kafungwa mechi 3 wewe timu yako imefungwa mechi ngapi?
 
Next season Man City wanaweza kuwa na addition ya Haaland na Pogba na wengine.

Sio siri tumetengeneza Timu kwenye kipindi kibaya na kigumu kwani Pep anazidi kujenga mizizi ya Utawala wake.

Hii ligi ni ya Pep.
Tatizo timu yetu haina wachezaji wenye consistency kama City, leo wamoto kesho wabaridi, inabidi klop asajili wachezaji wenye class. EPL ni ngumu kuchukua kuliko UEFA
 
Wewe ndio ujui mpira high line defense nayo ni mpira wakizamani.

Man U ndio anacheza mpira wakizamani ndio maana anafungwa kila siku. Wewe kuanzia msimu huu uanze utakuwa umeangalia mechi moja tu hiyo.

Liverpool anacheza mpira wa kisasa ndio maana anapata matokeo kila mechi mpaka saizi mashindano yote kafungwa mechi 3 wewe timu yako imefungwa mechi ngapi?
man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl

liverpool anabutua lile soka lazaman
 
man city kapoteza mechi mbili tu fa na hii ya ucl

liverpool anabutua lile soka lazaman

Wewe kumbe ujui chochote,me nafatilia mechi zote hapo Epl huwezi kunidanganya,city kapoteza mechi zote mbili na Spurs yaani nyumbani na ugenini ,kapoteza na crystal palace pale etihad .

Kumbe ujielewi wewe ngoja nikuache.
 
Bila liverpool na man city pale uingereza ligi ingeshakuwa ya mbuzi
Imagine man u na Ronaldo wake wana goal difference ya 1, yaani huwezi amini
 
Klopp naomba asikilize maoni yangu, kwa sasa mechi ijayo apuumzishe wachezaji mhim kutokana na mechi ya Villarreal na Tottenham, Wachezaji wamechoka ili tuambulie hata FA na UCL. Kipara kwa sasa kumng'oa pale juu ni kazi aisee.
 
B

Bado sana mkuu hii ligi matokeo kupinduka ni mechi moja tu.LIVERPOOL BINGWA na hamta amini.
 
B

Bado sana mkuu hii ligi matokeo kupinduka ni mechi moja tu.LIVERPOOL BINGWA na hamta amini.
Hili kombe la kipara Mzee ... City mwenzenu ana cha kupoteza sahv hayupo FA , wala uefa ya kuiwazia ..hapo j5 klop anaweza akaumiza Kichwa kufanya rotation game ya Aston villa wkt city game yake yy anaweka bampa to bampa ...yaan mtegemee cjui wolves wawastopishe city sahauni

wazee wa imagine being liverfools bhana
 
Mwendo wetu epl tumemaliza tayari daah
Hongereni city maana jamaa wameanza kutoa dozi nzito
 
Tatizo timu yetu haina wachezaji wenye consistency kama City, leo wamoto kesho wabaridi, inabidi klop asajili wachezaji wenye class. EPL ni ngumu kuchukua kuliko UEFA

Mkuu raundi ya pili ilipokuwa inaanza zilikuwa tofauti ya points 14 mpaka ikabaki 1, na sasa Hivi zimerudi 3,raundi ya 2 tumepata sare 3 wengine wote tumetoa kipigo , hakuna timu iliyofanya hivyo.

Unazungumzia consistency gani Mkuu.kilicho tugarimu ni wachezaji wetu wakutegemewa kuumia.
 
Mwendo wetu epl tumemaliza tayari daah
Hongereni city maana jamaa wameanza kutoa dozi nzito

Nenda kawape kombe kabisa, hata kuna muda mliwapa kombe manjesta United baadae upepo ukabadilika mkakimbilia kwa chelsea.

Kombe hawezi kupewa mpaka mechi ya mwisho ndio hawawezi kumpa saizi maana mechi bado na hawana uhakika.
 
Liverpool mnaoongoza league lakini hamna raha

Hatuna raha kivipi wewe? Tunacheza fainali mashindano yote tulioshiriki na tuna kombe tayari ndani.

Raha akose Man U sio Liverpool,kutokuchukua kombe kwa tofauti ya points chache sio mara ya kwanza.nini cha ajabu hapo ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom