Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Of course sikuamini lakini nilikuwa sielewi vipi leo hendo awefavourite kwa keita wakati muda mwingi huwa tunablame hendo akianza first 11

Hii ndiyo nature ya Washabiki wa Mchezaji badala ya kuwa Washabiki wa Timu.

Wapo hivi: 👇
  • Akianza Mbweha watasema bora angeanza Nyati.
  • Akianza Nyati watasema bora angeanza Mbweha.

Hivyo:
  • Angeanza Hendo wangesema bora angeanza Keita.
  • Kaanza Keita wamelalamika bora angeanza Hendo.

Si unaona huku kwetu?
  • Akianza Mugalu wanasema bora angeanza Kagere.
  • Akianza Kagere wanasema bora angeanza Mugalu.

This is a true definition of Plastic Fans.
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom