Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We are Liverpool

One voice
You Will Never Walk Alone

When you walk through a storm
Hold your head up high
And don't be afraid of the dark

At the end of a storm
There's a golden sky
And the sweet silver song of a lark

Walk on through the wind
Walk on through the rain
Though your dreams be tossed and blown

Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone

You'll never walk alone

Walk on, walk on
With hope in your heart
And you'll never walk alone

You'll never walk alone
 
Badala ya kumuweka Henderson pale katkat kuvikata anawaweka akina keita Klop bna
 
Seconds half fast substitution;

Keita 🔴 Henderson 🔵

Jota 🔴 Diaz 🔵
 
url(216).jpeg
 
Kitu pekee anachokiomba Captain wetu ni kuwa Keita kuwa Majeruhi, Kwa Thiago hakugusiki, kwa Fabinho ndiyo hata kupaangalia ni dhambi, Keita ndiyo huyo anarudi kwenye ubora wake na kuyakimbia Majeruhi! Mbona mwaka huu atanyanyua Kombe kutokea Benchi!! 😂😂
Mkuu Keita leo naona amevibiwa futari yaaani yeye na Salah hawarudi nyuma kusaidia defensive duties nwa ngoja tuone maana kikosi kizima kipindi cha kwanza hawakua kazini wamewapa Villarreal gemu nyepesi sana mpaka magoli yanarudi.

Henderson taken wise yupo chini ya Keita lakini wakati mwingine unachohitaji ni bodies to close the channels na hilo captain wetu hua anafanya powa sanaaa.

Keita na Thiago almost wanacheza identical moves hivyo hii combination mapema sana Klopp ampumzishe mmoja.

YNWA
 
Badala ya kumuweka Henderson pale katkat kuvikata anawaweka akina keita Klop bna
Shida ya Liverpool ni moja, nilicho gundua inapenda sana kuridhika angalia Vs Benifica kwakua ilikuwa inaongoza ikaruhusu magoli yote yale. Na leo tulifikiri kwakuwa tumesha watandika goli mbili game itakuwa ya kawaida sana, sasa subiri second Half ndio tunakuja kucheza mpira unao eleweka ila sasa na Villarreal sio wepesi hao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom