Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpunga tulieni game bado
Mkuu washa panic aisee Klopp ana kazi ngumu sana kuwatuliza kwanza na gemu plan mpya maana ya kipindi cha kwanza imefeli kabisaaa.

Hizi klabu za Spain wanajua sana kucheza na refa yaani wakigiswa kidogo tu chini na uwanja leo umeteleza balaa hivyo hata long pass ni ishu..

Ngoja tuone 2nd half who will blink 1st.

YNWA
 
Haya majitu yamekuja kivingine sasa. Yatapata goli maana possession yao inazidi kuongezeka
 
Mkuu washa panic aisee Klopp ana kazi ngumu sana kuwatuliza kwanza na gemu plan mpya maana ya kipindi cha kwanza imefeli kabisaaa.

Hizi klabu za Spain wanajua sana kucheza na refa yaani wakigiswa kidogo tu chini na uwanja leo umeteleza balaa hivyo hata long pass ni ishu..

Ngoja tuone 2nd half who will blink 1st.

YNWA
Hao jamaa yanapigwa na liver utaona hawawezi kumaliza game washachoka hapo hato dk 70 na kitu wanakula bao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom