Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

GOAL DKK YA 2 NI SAWASAWA NA MTU ULIKUA UMELALA ALAFU ANAKUJA MTU ANAKUAMSHA KWA KUKUMWAGIA MAJI YA BARIDI
 
hivi liverpool alikuwa anacheza uefa kweli ,najawa na wasi wasi mkubwa kabisa ....

Liverpool vs intermillan

Liverpool Vs benifica

Liverpool Vs Villarreal....

ifike hatua Hawa waache kutuchezwa akili hii ni Europa kabisa hakuna uefa ya namna hii
Hivi unajua Milan na Benfica wana UEFA ngapi

Au unazani ni wangese kama nyie nyumbu wa mjini
 
Tupo hapa tutaona nani atabeba safari hii... Prem league na uefa...mark my words...Liver juz juz tu mmefufuka mlkuw bure kabisa
Wakati huo Liver akiwa bure, kuna timu ya EPL ilishawahi kuipiku hata vijiidadi vya UEFA mpaka anarejea tena?
 
Jamani naombeni msaada wa link au app ya kuangalia mechi hii hata kama Liverpool anavuta pumzi ya moto isiwe kesi ya mimi kushindwa patiwa msaada.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom