Kwa hio hao ma staaa wako ambao Liverpool hatuna wamekufikisha wapi EPL msimu huu.
Tuache maneno mengi, data ziongee tazama msimamo wa EPL.
View attachment 2183428
Haya sasa hao ma staa wako hawachezi Ligi hii?
Duuh ila haya mambo acheni tu leo hii Chugga anavizia kuingia humu mpaka kwanza apate matokeo. [emoji23][emoji23][emoji23].. Ligi inaanza alikua hakauiki humu kusema bingwa ni yeye tu.
Haya wewe koma na ma staa wako sie na hawa wa kwetu tuna Carabao ambao ma staa wako hawakucheza[emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA