Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Its not over till it is overm. Mashabiki wa mancity hawanaga akiba ya maneno.. wengi waliamini watatufunga liverpool... Ila wajue mungu yupo upande wetu na sio upande wa hao wauza mafuta wa uarabuni
Kwetu Liverpool tunasema "NEVER SAY DIE"....

Ethad walisubiri jana waongoze EPL kwa pointi 4 too bad haikua hivyo pamoja na udhaifu wetu jana kushindwa kucheza mpira wetu tumetoka na pointi 1 ni jambo njema sana.

Jumamosi Wembley tarehe 16/4/22 tunapata tena nafasi ya kutafuta kuingia FA fainali dhidi ya Manchester City naamini pale Klopp atafunguka vyema kusaka ushindi na hamna cha kupoteza ni aidha ushindi ama tupo nje ya FA.

YNWA
 
UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?

Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.

Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.

We believe.

YNWA
Carabao ndio kombe pekee mutabeba msimu huu.
 
hivi wee nguvu ya kuongelea City unatoa wapi? Wakati huu uzi wote wakisikia city wanainuka na kusalimu khaaaah.

Pambana na hawa wenzio wa humu, city sio Level zenu.
Jumapili piga hizi kuku maana zimezidi ngebe zinajiona zenyewe basi ndio timu Bora kumbe ni upepo TU umewatembelea..halafu tukutane Wembley nikukule😂😂😂
#CFC💙💙💙
 
Screenshot_20220410_235841_com.android.chrome_edit_62504014539420.jpg

Itabidi Lukaku awe anaangalia clip za huyu dogo namna ya kuji position ili arejeshe makali yake.

Anagoli 15 EPL. Tuliambiwa tumepigwa kwa huyu mwamba mpaka sasa kawazima kidomo wakosoaji wa bei yake.

Jota Magoli.

YNWA
 
Carabao ndio kombe pekee mutabeba msimu huu.
OllaChuga Oc una kifua ndugu yangu.

2021 mwezi wa Nane ulikua una maneno mengi sana ukisema hata Top 4 Liverpool hatupo mara Bingwa wa EPL ni Chelsea ila mdogo mdogo tukaanza kuelewana kwamba huna kikosi cha kumkimbiza Manchester City maana Kibegi na Werner ni bora Origi wetu hawana msaada kwako unapohitaji na mpaka sasa usipokua makini UCL unaitema kesho Los Blonco utabakia na kombe moja la FA kama Jumapili utampiga Crystal Palace na hapo ulipo huna hamu ya kukutana na Liverpool hio fainali ya FA ukivuka salama nasi tukavuka salama.

Uwe na utulivu ndugu msimu huu upo kama haupo sipati picha mabosi wa Inter Milan walivyogonga cheers kusikia mnafika bei ya £97m ambayo ni rekodi ya klabu kumnunua Lukaku. Ali flop Manchester United hilo tu mlitakiwa mshuke mazima kwa Halland kuliko kwa Kibegi sasa umebaki kununa ubingwa wa EPLni dhahiri unatua Anfield ama Ethad.

Liverpool baba lao.

YNWA
 
Siendi ng'oo
Huwezi amini nimefanikiwa kumaliza mpira.
Sema karoho kalikuwa juu juu haha pole ..mimi ndio maana siangaliagi mpira ..nafuatilia laivu skoo, tukishinda ndio naenda zangu Yu tube kucheki hailaits, tukifungwa wooi ata sujusumbui🤣🤣🤣🤣

Hiv mukifungwaga ata shemu etu SI anapataga shida sana siyo 😂😂😂😂maana unaonekana unakuwa na temps atari
 
View attachment 2183390

Itabidi Lukaku awe anaangalia clip za huyu dogo namna ya kuji position ili arejeshe makali yake.

Anagoli 15 EPL. Tuliambiwa tumepigwa kwa huyu mwamba mpaka sasa kawazima kidomo wakosoaji wa bei yake.

Jota Magoli.

YNWA
Lukaku the Great ni mfumo TU umemkataa, huyu takataka Jota akienda mfano Madirid anapoteana ..ni mchezaji wa kawaida sana Hana maajabu yeyote
 
Hivi wewe huyu Manchester City ulimfunga??

Kwanza Jumanne kamalizane na Karim anakusabiri Los Blonco ana jambo lake.

Mzee wa Cuban Cigar anasema mtajua hamjui.

YNWA
Mzeee pale tunapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Ni mwendo wa kutowa dozi adi kieleweke..

Nasemaaje, sisi ndio mabingwa watetezi.
#CFC💙💙💙
 
Lukaku the Great ni mfumo TU umemkataa, huyu takataka Jota akienda mfano Madirid anapoteana ..ni mchezaji wa kawaida sana Hana maajabu yeyote
Ukikusanya kwa pamoja magoli ya Lukaku na Werner bado hujafikia magoli ya Jota msimu huu😂😂.
Wewe haya jitoe ufahamu kumbali Inter aliwapiga Lukaku hana dhamani ya ile bei.

Kwamba msimu mzima Lukaku ameshindwa kwenda na mfumo wa Thomas basi mrudisheni Inter huyo ni mzigo.

Tazama Diaz kaja January hii na hajapata pre season lakini mishe zake utadhani tulimpata January 2021 kumbe anamiezi minne tu Liverpool.

YNWA
 
Mzeee pale tunapindua meza mapema sana subiri uone kitakachotokea. Ni mwendo wa kutowa dozi adi kieleweke..

Nasemaaje, sisi ndio mabingwa watetezi.
#CFC💙💙💙
Na iwe hivyoooo.

Itakua powa kama kweli mna huo uwezo mfike nusu fainali mzidi kupiga ela maana mpo hoi mpaka pale mmiliki atapatikana.

YNWA
 
Ukikusanya kwa pamoja magoli ya Lukaku na Werner bado hujafikia magoli ya Jota msimu huu😂😂.
Wewe haya jitoe ufahamu kumbali Inter aliwapiga Lukaku hana dhamani ya ile bei.

Kwamba msimu mzima Lukaku ameshindwa kwenda na mfumo wa Thomas basi mrudisheni Inter huyo ni mzigo.

Tazama Diaz kaja January hii na hajapata pre season lakini mishe zake utadhani tulimpata January 2021 kumbe anamiezi minne tu Liverpool.

YNWA
Hao wachezaji wenu ni wakawaida sana siyo WCP labda Salah ndio ana thamani hiyo ya world classic player.

Twende kwa Chelsea Sasa ..Lukaku WCP, Werner WCP, Havaert WCP, Pulisic WCP, Ziyech WCP, Mendy WCP, Rudger WCP, Silva WCP, nna madogo kama akina Mount, James...Sasa utafananisha na mtu kama Jota ama Diaz ambao hata pale manure namba wanawezaa kukosa? Kikosi Cha Chelsea chote kinacheza festXI ya timu yeyote Ile duniani na wakafanya vizuri ..hii liverkuku ni mfumo TU ndio unawabeba, tukimtoa klopp basi hii ni timu ya kawaida sana

Kwa hio hao ma staaa wako ambao Liverpool hatuna wamekufikisha wapi EPL msimu huu.

Tuache maneno mengi, data ziongee tazama msimamo wa EPL.

Screenshot_20220411_080445_edit_68118371604188.jpg

Haya sasa hao ma staa wako hawachezi Ligi hii?

Duuh ila haya mambo acheni tu leo hii Chugga anavizia kuingia humu mpaka kwanza apate matokeo. 😂😂😂.. Ligi inaanza alikua hakauiki humu kusema bingwa ni yeye tu.

Haya wewe koma na ma staa wako sie na hawa wa kwetu tuna Carabao ambao ma staa wako hawakucheza😂😂😂

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom