Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,568
- 3,793
Kwanza huyu shabiki wa man city kaibukia wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aisee jana mpo nyumbani na mmechemka.
Kua na maneno ya akiba hakuna timu kwenye nusu fainali inapeleka timu kuchapwa hua ni kujituma kama kote.
Sitegemei mpate wepesi kama jana.
YNWA