Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jasho limelokutoka Leo ,najua linaweza kujaza pipa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tulia tuwafundushe mpira kijana...

Ku win CL hata sio lengo letu ....sisi ni kuwatesa nyie tuu [emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hebu mjipange kwa msimu ujao tyuuuh, huu mwaka sio wenu kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na UCL hamna chenu, uwiiiiiiih
UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?

Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.

Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.

We believe.

YNWA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo J2 mtatafutana mbna, hii ndo city bhana. Ni kugawa kichapo tyuui.
Khaa kwamba leo Ethad maskani kuu ya Manjesta City ametushindwa na sasa anahamisha ubabe Wembley nyie haya ni siku 6 zijazo mbona kidume atajulikana maana ile haina cha sare lazima mshindi apatikane.

YNWA
 
UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?

Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.

Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.

We believe.

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo hapa, eti nn?
City wakati huo yuko wapi na anafanya nn? Hao wa darajan ni level zako wee sio sisi.

Mwakaa huu mtafurahishwa mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Screenshot_20220410_235914_com.android.chrome_edit_62525047843583.jpg

Nice picture.

YNWA
 
Khaa kwamba leo Ethad maskani kuu ya Manjesta City ametushindwa na sasa anahamisha ubabe Wembley nyie haya ni siku 6 zijazo mbona kidume atajulikana maana ile haina cha sare lazima mshindi apatikane.

YNWA
Na ndo uzuri ulipo sasa lazima mtu atoke na furaha au huzuni, mtajua hamjui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani Carabao huyo Manchester City msimu huu hakushiriki?

We jitoe ufahamu.

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnoo hapa, eti nn?
City wakati huo yuko wapi na anafanya nn? Hao wa darajan ni level zako wee sio sisi.

Mwakaa huu mtafurahishwa mbna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
UCL ipi unazungumzia hii ambayo mguu mmoja tupo nusu fainali tunawasubiri Bayern ama wale vijana wa Unai?

Kwanza msimu huu wengi walisema hatupo kumpamba kombe lolote lakini waulize vijana wa Darajani pale Wembley kiliwapata nini huku Carabao ikitua Anfield.

Hii Liverpool nikushauri mapema tu ni kwamba uwe na maneno ya akiba. Maama its not over untill its over.

We believe.

YNWA
Its not over till it is overm. Mashabiki wa mancity hawanaga akiba ya maneno.. wengi waliamini watatufunga liverpool... Ila wajue mungu yupo upande wetu na sio upande wa hao wauza mafuta wa uarabuni[emoji1787][emoji1787]
 
Mane na Mo walikuwa wamefunga na ndio ugumu ulianzia kwao, ukimuangalia Mo hakuwa yule wa siku zote hii ni kwa sababu hakuwa na nguvu za kupambana same to Mane , tofauti na City wachezaji wao wengi au wa muhimu hawakuwa kwenye mfungo ukitoa Mahrez, hili liliifanya timu yetu kupotea.

Ramadan ilikuwa ni sababu pia???? 🤔
 
Jasho limelokutoka Leo ,najua linaweza kujaza pipa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tulia tuwafundushe mpira kijana...

Ku win CL hata sio lengo letu ....sisi ni kuwatesa nyie tuu [emoji28]
Mmeshinda ngapi?
 
Na kweli mmetutesa maana kupata sare na liver ni zaidi ya kupiga picha na rais
 
Mane na Mo walikuwa wamefunga na ndio ugumu ulianzia kwao, ukimuangalia Mo hakuwa yule wa siku zote hii ni kwa sababu hakuwa na nguvu za kupambana same to Mane , tofauti na City wachezaji wao wengi au wa muhimu hawakuwa kwenye mfungo ukitoa Mahrez, hili liliifanya timu yetu kupotea.

Ramadan ilikuwa ni sababu pia???? [emoji848]
Mmeshaanza kusingizia ramadhan [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]benifica mmemfungaje Sasa au man city kumfunga mpaka mtoke kwenye mfungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa ndo utake kulia jaman? Wee subiri j2 kila kitu kitafahamika.
Anilize huyu Manchester City oiled by Mansour billions no way and yet you guys can't win UCL that the big boys league.

Haya Jumamosi Klopp kashasema atajihidi kuja kivingine maana jana haiku siku powa kibaruani kwetu.

YNWA
 
Its not over till it is overm. Mashabiki wa mancity hawanaga akiba ya maneno.. wengi waliamini watatufunga liverpool... Ila wajue mungu yupo upande wetu na sio upande wa hao wauza mafuta wa uarabuni[emoji1787][emoji1787]
We ulikua unaamini nini kabla ya game?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom