Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Manchester City akipigika na El Cholo atayumba sana maana defeat hua inawaadhiri sana hawa jamaa ila wakishinda mbona tutafutana FA itakua cracker utadhani ndio Fainali kumbe nusu fainali.

Ili angalau Manchester City alegee tunahitaji kwanza El Choro amchape pale Wanda Metropolitano na tunajua sio kazi rahisi lakini akipigika ataanza kupungua morali maana defeat destroys team n individual players... Tukikutana Wembley nao malaika wa ushindi waegemee kwetu hapo atabaki na EPL tu na itakua amewalegeza balaa.

Kwa sasa ramli hazikwepeki kwa Kipara achapike.

YNWA
Hebu mjipange kwa msimu ujao tyuuuh, huu mwaka sio wenu kabisaaa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Na UCL hamna chenu, uwiiiiiiih
 
Ubingwa tumeshapoteza kwa matokeo ya mechi hii ya leo maana ndio ilikuwa inaamua nani bingwa EPL 2022 though maneno yangu yanaweza kukosolewa na mwenendo mechi saba zilizobakia kwa Manchester City
Bora wee useme ukweli na uwaambie wenzio waelewe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ilikuwaje tukatoa Sare zote hizi[emoji3064]
Ila siyo Mbaya..city anaenda kutoa Sare zoote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka km chizi hapa.

Jaman City Gari limeshawaka hivyooo. Hakna kusimama, hakna kula njian, hakna kuchimba dawa, had final destination.

Mtatafutana mbna mwaka huu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu kipara hachomoi kwa wolves huyu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sisi zilizobaki tunashinda na ubingwa tunabeba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hahahah
 
Manchester City akipigika na El Cholo atayumba sana maana defeat hua inawaadhiri sana hawa jamaa ila wakishinda mbona tutafutana FA itakua cracker utadhani ndio Fainali kumbe nusu fainali.

Ili angalau Manchester City alegee tunahitaji kwanza El Choro amchape pale Wanda Metropolitano na tunajua sio kazi rahisi lakini akipigika ataanza kupungua morali maana defeat destroys team n individual players... Tukikutana Wembley nao malaika wa ushindi waegemee kwetu hapo atabaki na EPL tu na itakua amewalegeza balaa.

Kwa sasa ramli hazikwepeki kwa Kipara achapike.

YNWA
Kazi imeyokushinda wewe unaenda kumpa simeon ambaye katoka kuchapika na Mallorca team ambayo inashika nafasi ya 10 huko ....then imfunge man city .....!

Hakuna sijui uefa Wala nin atletico anaenda kutolewa mapema kabisa na ule mpira wake wa kudefend watu 10 kwenye box[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Huyu takataka man shitye anifunge mimi? Ngoja jumamosi akupasue pale Wembley alafu nikutane naye final fa ..ndio ujue sisi ni Chelsea na hatutanii ..
#CFC[emoji170][emoji170][emoji170]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wee nguvu ya kuongelea City unatoa wapi? Wakati huu uzi wote wakisikia city wanainuka na kusalimu khaaaah.

Pambana na hawa wenzio wa humu, city sio Level zenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kazi imeyokushinda wewe unaenda kumpa simeon ambaye katoka kuchapika na Mallorca team ambayo inashika nafasi ya 10 huko ....then imfunge man city .....!

Hakuna sijui uefa Wala nin atletico anaenda kutolewa mapema kabisa na ule mpira wake wa kudefend watu 10 kwenye box[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
I can’t wait to beat the shytes in ucl

They will never win it

Kama wameshindwa kutufunga leo basi ni wachovu
 
Nilikuwa najificha mpira ukifika golini kwetu.

Kuna muda nikachungulia nikamuona matip wangu anaokoa kwa kutoa nje[emoji3059]

Leo hata ningekuwa mimi ningesinzia aisee
Siyo kwa kupigwa dakika ya 5
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeona hujakimbia angalau hujazimia na umeona burudani.

Sasa FA Jumapili tunakwenda kuwachapa kama wale vijana wa Darajani.

Leo kwenyewe walitubania mashabiki wawe kiduchu Ethad lakini Wembley kitaeleweka tu japo tunahitaji Klopp awaambie vijana waamshe tangu dakika ya kwanza sio kama leo walisinzia kazini

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah mnachekesha mnoo nyie livakuku, muifunge city kwa kipi hasa? Hiyo J2 mtalia na kusaga meno.
 
I can’t wait to beat the shytes in ucl

They will never win it

Kama wameshindwa kutufunga leo basi ni wachovu
Jasho limelokutoka Leo ,najua linaweza kujaza pipa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Tulia tuwafundushe mpira kijana...

Ku win CL hata sio lengo letu ....sisi ni kuwatesa nyie tuu [emoji28]
 
Kiujumla nimefurahi sana kwa matokeo ya leo hii.

Nadhani kwa jinsi Man City walivyokuwa wa moto tangu kipindi cha kwanza, ni sawa na Liverpool kashinda [emoji4]

Ngoja nizidishe sala kwa mechi 7 zilizobakia labda Man City ataweza kupoteza na Liverpool ikakaa kileleni hadi kuchukua ubingwa.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani sisi wa mashabiki wa City hatujuo kuomba eeeeh? Mnalo hili mwakaa huu.
 
Hata mimi nimefurahi ila first half mke wangu alikuwa akinisemesha nimenuna tu macho yote kwenye tv [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtakuja kufa na pressure, city weka mbali na watoto.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah mnachekesha mnoo nyie livakuku, muifunge city kwa kipi hasa? Hiyo J2 mtalia na kusaga meno.
Kwani leo tumelia? Au kwenu Kipara kashinda.

Leo kapata bahati kubwa sanaaa hatukua mchezoni kama wao na tumegawana pointi.

YNWA
 
Kazi imeyokushinda wewe unaenda kumpa simeon ambaye katoka kuchapika na Mallorca team ambayo inashika nafasi ya 10 huko ....then imfunge man city .....!

Hakuna sijui uefa Wala nin atletico anaenda kutolewa mapema kabisa na ule mpira wake wa kudefend watu 10 kwenye box[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Leo ulisema ni sare lakini baada ya kuona upo mchezoni kuliko sisi ukaibuka unashinda japo umeishia sare.

Leo tumecheza hovyo muda mwingi siamini kipindi cha kwanza hii gemu hukuimaliza.

El Cholo aliweka kikosi B dhidi ya Mallorca maana mipango yake ni kuwanyoa pale Wanda Metropolitano siku ya Jumatano.

YNWA
 
Hii game mashabiki wote wa Liverpool vibanda umiza walikuwa wanahema kama wamebanwa na mrango [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Walikuwa wanatetemeka hatari .....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo mashabiki wa livakuku walilowa km kuku wa kideli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom