Kwanza hawaujui mprira hawa wao niwashangiliaji tu, kwanza ukimpigia sim haraka haraka huyu akutajie wachezaji wa Man city hajui ataanza kukuambia Lukaku, Ronaldo na Messi [emoji1787][emoji1787][emoji1787], haya ukimuuliza jana man city alicheza mfumo gani? Hajui huyu. Huyu ni kama
OllaChuga Oc Ambaye haifatilii tim yake eti anaangalia Livescore [emoji1787][emoji1787][emoji1787] mamluki ni wengi sana. Haya mambo ya babu alikuwa anashabikia City au Chelsea ndio yanayo wakuta hawa vijana [emoji1787][emoji1787][emoji1787]