Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tunamfunga.
Nyie mtapoza na washing tutakuwa sisi
Nyie lazima mtatulia tu

Una game na

Man utd (hii haijalishi united yupo vibaya kiasi gani lakin hapa atawaamkia vzuri )

Spurs ( konte lazima awanyonyoe ndevu kwa kutumia shoka )

Wolves ( Hawa mbwa mwitu hawataacha salama )

Mshukuru Sana var ....hii game tulistaili point 3 kabisa .....

Tukutane FA .......itafahamika tu
 
Mlistahili wapi mshashindwa hivyo.

Kwa taarifa yako man u tunamchakaza nje ndani..ningekuwa nabet basi hii mechi ndo ya kujizolea hela.

Wewe wolves anakutandika na habari yako itaishia hapo.
 
Hii game mashabiki wote wa Liverpool vibanda umiza walikuwa wanahema kama wamebanwa na mrango

Walikuwa wanatetemeka hatari .....
Tumehema tu 1st half
2nd half tumetembea vifua mbele..si uliona tulivyowashikilia??
 
Staili ya high line na offside trap sizikubali kabisa, Zinasababisha watu kukutana uso kwa uso na Allison, kingine ni kina VVD kukabia macho, inaboa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom