Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
Dah! Tumefungwa tenaAcha kabisa,
Roho juu juu, nmemguard city[emoji4]
Dah! Tumefungwa tenaAcha kabisa,
Roho juu juu, nmemguard city[emoji4]
Kabisa mkuuNo matter what, kuishabikia Liverpool yalikuwa ni maamuzi bora kabisa kwenye maisha yangu.
Usiseme game sema fainali.Asee Gemu leo tait sana hii
Alafu wanaume tukiwa tunapambana wanawake hawapaswi kuingilia kati.Leo mnapakatwa subiri uone.
J4 tunaenda kupindua meza.
Shinda hapo.,
[emoji3][emoji3][emoji3] sasa wewe unagombania kombe lipi?Droo sio mbaya ila sio rafiki kwenu
.Tukitoa sare hii game Ubingwa EPL msimu huu unaenda Etihad
City atapoteza dhidi ya wolvesTukitoa sare hii game Ubingwa EPL msimu huu unaenda Etihad
Wamemkaba sanaHivi tuseme huyu Salah anawaza mkataba au wanamkaba sana? Maana kiwango anacho kionesha sasa sio kile tulichokuwa tukikiona.