Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Intermilan amewaexpose amefanya VVD aonekane kama Magwaya. Ni suala la muda tu
Kwani Kwenye msimamo wa League mpo nafasi ya ngapi?
Screenshot_2022-03-10-19-45-09-997_com.sofascore.results.jpg
 
Soka limekuwa la kiduwanzi yani liverkuku na matimu mengine yanafurahi mutadhani tutayumba.?!

Hapana tutakuwa bora zaidi.

Jokes aside nategemea hili lipate matokeo chanya.

Mkuu binafsi nawatania kama ambavyo tumezoeana ila sio sawa kabisa kwa ushindani wa ligi mkose mwelekeo kwa kuwa Roman hayupo tena.

YNWA
 
Roman ndie kashikilia mpira hapa , either akubal tim iuzwe na gvt, huku asipate chochote au akatae.

Hopeful ndan ya wiki z hiv karibun tutapata majibu,
Ni wale Warusi wana kiburi moja matata sanaa yaaani.

Inahitajika aweke maslahi ya klabu mbele ili muwe salama.

YNWA
 
Screenshot_20220310_204107_com.android.chrome_edit_204271252765184.jpg

Screenshot_20220310_204153_com.android.chrome_edit_204258353818311.jpg



Haya mambo sasa yanaelekea pambaya.

Rasmi sasa mdhamini wa jezi kashasitisha mkataba kuanzia sasa jezi zisiwe na ile logo ya 3 mobile.. na huu mpunga mrefu sana kwa mwaka ulikua unawaingizia kiasi cha £40m.

Upande wa pili wa hili ni kwamba wadhamini wakiedelea kujitoa inampa presha Roman atakua hana namna zaidi ya kuwapa serikali Uongozi wa timu ama akumbali watakavyotaka wao walioshika mpini.

YNWA
 
View attachment 2146100
View attachment 2146101


Haya mambo sasa yanaelekea pambaya.

Rasmi sasa mdhamini wa jezi kashasitisha mkataba kuanzia sasa jezi zisiwe na ile logo ya 3 mobile.. na huu mpunga mrefu sana kwa mwaka ulikua unawaingizia kiasi cha £40m.

Upande wa pili wa hili ni kwamba wadhamini wakiedelea kujitoa inampa presha Roman atakua hana namna zaidi ya kuwapa serikali Uongozi wa timu ama akumbali watakavyotaka wao walioshika mpini.

YNWA

Bado Hyundai na NIKE kung'oka kwenye hilo Gauni lao.
 
Hapo ndio shida inapoanzia, maana hata akisema aende mahakaman stil hali haitokuwa sawa n hukumu sio ya siku moja.

Ngoja tusubir vikao vitakavyokuwa vinafanyika
Leseni mliopewa inaisha 31/5/22.
Ni mtihani sana huruhusiwi hata kutoa nyongeza ya mikataba kwa mchezaji yeyote labda uwe mlishakumbaliana kabla ya tamko la Waziri Mkuu.

Duka la Chelsea la kuuza vifaa limeshafungwo.

Mtihani uliopo Mrusi ana miliki Chelsea asilimia 100 peke yake ndio maana unajiuliza jamaa atakumbali vipi hii hasara klabu itaifishwe ama aje akikataa ina maana kuanzia tarehe 1/6/22 Chelsea itashindwa kujiedesha tena.

Ila kimbaya ni hawa wahisani kama 3 Mobile, Hyundai nk kusitisha mikataba yao na Chelsea, hii ni pigo kubwa sana.

Taarifa za serikali UK ni kwamba wana ushahidi Putin na Roman wana urafiki wa ki uchumi na ushahidi upo ndio maana serikali ya Malkia wamekomaa na kumtaifisha chap.

Ngoma bado mbichi.

YNWA
 
Nyongeza
Klabu haitoruhusiwa kuwaongezea mikataba au kuendelea na mazungumzo ya kujadilii wachezaji wengine hivyo Antonio Rudger Ceser Aziplicueta Andreas christenses wote wataondoka huku Mazungumzo yote yalikuwa yanaendelea kwa ajili ya mkataba mpya yameisha .

Tetesi zote za usajili zilizokuwa zikiendelea kuhusu Chelsea haitoweza kuzikamilisha ikiwemo Jules kounde, Raphinha na ousmane dembele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom