Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Everton vs Manchester City walionewa wakalalamika na wakajibiwa wapo sahihi hawakutendewa haki wakaombwa msamaha.

Sasa nyie kama mnaona mlionewa mlishindwa nini kuomba clarification na ni haki yenu kabisa na Uongozi wa ma refa UK ungewajibu.

Whining won't bring back Carabao au kuwapa ubingwa wa EPL. Nyie pambaneni UCL, FA mengine mjipange msimu ujao.

YNWA
Kuombwa msamaha?

Huo wehu hatutaki kuusikia.
 
Aisee kwa lile shuti lake itakuwa kweli mpira umetua Kasulu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
😂😂😂😂😂😂😂Umetua jana hivyo yaaani alivyoingia kwa bwebwe sasa aka Penati Specialist hahaha kumbe wazee wa paneka wametulia wanamwangilia tu yaaani atakua anaota mpaka sasa.

YNWA
 
Everton vs Manchester City walionewa wakalalamika na wakajibiwa wapo sahihi hawakutendewa haki wakaombwa msamaha.

Sasa nyie kama mnaona mlionewa mlishindwa nini kuomba clarification na ni haki yenu kabisa na Uongozi wa ma refa UK ungewajibu.

Whining won't bring back Carabao au kuwapa ubingwa wa EPL. Nyie pambaneni UCL, FA mengine mjipange msimu ujao.

YNWA
Wamlaumu yule Kepa aliyewapaishia mpira mawinguni
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetua jana hivyo yaaani alivyoingia kwa bwebwe sasa aka Penati Specialist hahaha kumbe wazee wa paneka wametulia wanamwangilia tu yaaani atakua anaota mpaka sasa.

YNWA
Mi nilikaona kanavyoviringa Mpira kwenye jezi huku wamekazingira pembeni
Nikasema hapa hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa Mbeya tunasema "No mbombo"
 
Wamlaumu yule Kepa aliyewapaishia mpira mawinguni
Wanamvyomtetea sijui kawapa makombe gani hukooo...

Watajiju.

Vijana wetu wamenyanyua kwapa Wembley hahaha ilikua tamuuu sana.

Its always sweet kuwachapa Chelsea haha tena upande ule ule waliokaa mashabiki wa Liverpool huku wakipiga shabgwe sana.

Worst sub for the season itakua ile ya Mendy Carabao 😂😂😂😂

YNWA
 
Mi nilikaona kanavyoviringa Mpira kwenye jezi huku wamekazingira pembeni
Nikasema hapa hamna kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu wa Mbeya tunasema "No mbombo"
😂😂😂😂😂😂😂Sijui kwa nini haukutua Mbeya haha ungepiga ela ndefu maana huo mpira unasakwa utauzwa kwa mnada ujue 😂😂😂...

Kalijitia lesi kama boxer mpya kumbe kanaeda kuuza picha

YNWA
 
Wanamvyomtetea sijui kawapa makombe gani hukooo...

Watajiju.

Vijana wetu wamenyanyua kwapa Wembley hahaha ilikua tamuuu sana.

Its always sweet kuwachapa Chelsea haha tena upande ule ule waliokaa mashabiki wa Liverpool huku wakipiga shabgwe sana.

Worst sub for the season itakua ile ya Mendy Carabao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

YNWA
Jamaa fundi sana wa kupaisha
Ana kengeza la mguu aisee..ile penati hata ningepiga mimi nisingeipeleka kule .

Itakuwa nao wamekuwa nyumbu aisee,
Wanamteteaje mtu amepiga mpira Hadi umekuja kutua kigoma[emoji1787]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijui kwa nini haukutua Mbeya haha ungepiga ela ndefu maana huo mpira unasakwa utauzwa kwa mnada ujue [emoji23][emoji23][emoji23]...

Kalijitia lesi kama boxer mpya kumbe kanaeda kuuza picha

YNWA
Ungetua hapa green city ningeuokota Kwa bashasha sana maana ni maajabu haya Mpira wa penati unapigwa vile.
Kepa fundi sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom