Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwenye mpira alievuka kwenda hatua ya pili ndio mshindi hayo sijui tumekoswakoswa hayana maana yashapita, mpambane sasa tukutane nusu au robo au faino.

Tumeshakumalizeni Carabao hilo halifutiki mpaka Carabao mpya msimu ujao. Mkae mtulieeeeee tuliiiii.

YNWA
Wakae Kwa kutulia kabisa
Hawaamini walivyopaisha angani ule Mpira.
 
Yeah man. We shall push to the end. We are Liverpool we dont give up.

We have almost kikosi kizima lakini mechi sasa zimekua nyingi zinachezwa kwa ushindani mkali sana uwanjani kiasi ma dogo muda wa ku recover umekua mchache tazama wiki hii tumecheza na Inter Milan wekedi ijayo tuna Brighton na Jumatano ijayo tuna Arsenal ugenini hivyo mechi zinakuja kwa kasi ya 5G ndugu.

YNWA
Hakika
Wachezaji nao ni binadamu,wanachoka.
 
Katimu kadogo sana
Mmezoea kubebwa na marefa wa michongo...

20220307_114906.jpg


Soon tunawaexpose
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom