Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leseni mliopewa inaisha 31/5/22.
Ni mtihani sana huruhusiwi hata kutoa nyongeza ya mikataba kwa mchezaji yeyote labda uwe mlishakumbaliana kabla ya tamko la Waziri Mkuu.

Duka la Chelsea la kuuza vifaa limeshafungwo.

Mtihani uliopo Mrusi ana miliki Chelsea asilimia 100 peke yake ndio maana unajiuliza jamaa atakumbali vipi hii hasara klabu itaifishwe ama aje akikataa ina maana kuanzia tarehe 1/6/22 Chelsea itashindwa kujiedesha tena.

Ila kimbaya ni hawa wahisani kama 3 Mobile, Hyundai nk kusitisha mikataba yao na Chelsea, hii ni pigo kubwa sana.

Taarifa za serikali UK ni kwamba wana ushahidi Putin na Roman wana urafiki wa ki uchumi na ushahidi upo ndio maana serikali ya Malkia wamekomaa na kumtaifisha chap.

Ngoma bado mbichi.

YNWA
Mbona chama cha uingereza hakifungiwi kuchanganya siasa na mpira??
 
Adjustments.jpg
 
[3/11, 18:08] COMPILER: The last four defenders to be named Premier League Player of the Month:

◎ Virgil van Dijk (Dec 2018)
◎ TAA (Dec 2019)
◎ TAA (Nov 2021)
◉ Joël Matip (Feb 2022)

Just waiting for Andy Robertson to complete the set. 😏
 
Yaan ozil alifukuzwa arsenal kwa sababu ya kuwatetea waislam wanaouliwa na Israel wakakaa kimya ila Leo abramovic anaonekana shetan
Haya mambo hua ni mtihani sana kujua ukweli maana sie kila kitu twasoma kwa mitadao. Behind the scenes haya mambo hua mazito sana.

YNWA
 
Usione MO SALAH akiwanyanysa watu ndani ya Uwanja ukachukulia kirahisi .Tatizo huko mazoezini anakabwa na nani? Usione VVD anakuwa bora uwanjani kila striker anamuogopa .Tatizo mazoezini anamkaba mchezaji bora wa Dunia MO SALAH si rahisi hata kidogo .Na MO SALAH anakabwa na beki bora wa DUNIA mpaka umpite si kazi rahisi ndio maana wote wakiwa uwanjani ni moto Sasa Kimbulu mazoezini anakabwa na MAGUIRE kwa nn asijione fundi haya mpeleke kwenye mechi sasa toka mwaka uingie ana goli moja Daaah.Nasikia jina la YATIMA limehamia upande wa pili wa Nzi wa blue vp huko wameachwa au ? #Nyumbu hana Epl ukame uendelee au mnasusa?

FB_IMG_1647017457600.jpg
 
🙆🏿 🙆🏿 Mbona kama Salah safari imeshafika.

Between the lines ni mtihani sana.

Klopp kasema mamuuzi yapo kwa kambi ya Salah waamue wao akisema Liverpool wamejitahidi mpaka mwisho wao.

Ajabu sasa haya ndio majibu ya wakala wa Salah Rammy Abbas ni vi emoji vya kucheka khaaa

Screenshot_20220311_210829_com.android.chrome_edit_232220167676545.jpg

Mpaka hapa wakuu naamini Salah aidha mkataba utaisha asepe zake ama atauzwa endapo akitokea mteja kufika ofa powa.

Kwa namna mambo yanavyokwenda itahitaji muujiza Salah kusaini mkataba mpya Liverpool.

YNWA
 
Usione MO SALAH akiwanyanysa watu ndani ya Uwanja ukachukulia kirahisi .Tatizo huko mazoezini anakabwa na nani? Usione VVD anakuwa bora uwanjani kila striker anamuogopa .Tatizo mazoezini anamkaba mchezaji bora wa Dunia MO SALAH si rahisi hata kidogo .Na MO SALAH anakabwa na beki bora wa DUNIA mpaka umpite si kazi rahisi ndio maana wote wakiwa uwanjani ni moto Sasa Kimbulu mazoezini anakabwa na MAGUIRE kwa nn asijione fundi haya mpeleke kwenye mechi sasa toka mwaka uingie ana goli moja Daaah.Nasikia jina la YATIMA limehamia upande wa pili wa Nzi wa blue vp huko wameachwa au ? #Nyumbu hana Epl ukame uendelee au mnasusa?

View attachment 2147186

Mo salah ndio kazi kumkaba kwenye mazoezi, ukiwauliza wachezaji wenzake watakuambia mo salah ,wachezaji wenzake wanapata shida sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom