Bhana niliwaambia wakati hii vita inaanza wa kasema haiwezekani Chelsea ni zaidi ya Malikia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa Johnson kashamaliza haya maneno hakuna tena kuuzwa timu hapa.
Watulie uzi wao walie huko huko sijui watasema goli la mkono kapiga Johnson [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
Mrusi kwishinie pamoja na ahadi nusu ya mpunga angeupeleka Ukraine kusaidia waadhirika wa vita lakini ndio bye bye sasa.
Ukiachana na kununua wachezaji kwingine wako vizuri kibiashara sitegemei kuona wakikwama.
Sana sana ule uwanja sasa hawahami tenaaaa mpaka karne ya ngapi hukooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walishapulia Carabao haha sasa wamepigwa noki out kali sanaaa.
YNWA