Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Kosi la duniaImajini Kepa aliewagharimu mammilioni vs Kelleher ambae nadhani tulimpata bureeeeeeena Kelleher akanyanyua kwapaaaa.
Haya sasa hatutaki kelele sisi wakapambane na Malkia sasa.
YNWA
Taki must have the best goal per minute ratioView attachment 2145522
Tazameni ma straika wa majogoo wa ela ya madafu wanavyofumania nyavu.
Klopp na Edwards hakika ni ma genius.
YNWA
Captain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.View attachment 2145473
Mashabiki wa Chelsea ndio maana wana mnajitoa machungu kwenye jukwaa pendwa la Majogoo.
Ni rasmi sasa Chelsea ni mali ya Malikia.
OllaChuga Oc
Ryana
42774277
Hziyech22
Habari mpya ndio hiiiii.
YNWA
Jokes asideCaptain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.
#chelsea4ever
Jahazi ndio limezama, sasa hivi ni zama za Newcastle. Tena wanaweza kujipatia wachezaji wa darajani kwa bei ya mafungu... bye bye Chelski😆Captain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.
#chelsea4ever
Mbona hata kepa kanyanyua kwapa kachukua UEFA, Europa, Supercup na kombe la club ya duniaImajini Kepa aliewagharimu mammilioni vs Kelleher ambae nadhani tulimpata bureeeeeee 😂😂😂😂😂😂😂na Kelleher akanyanyua kwapaaaa.
Haya sasa hatutaki kelele sisi wakapambane na Malkia sasa.
YNWA
Captain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.
#chelsea4ever
Chelsea4ever hata tukipitia magumu still will be a BlueMnang’ang’ania nini huko njooni Liverpool huku.
Juzi tumekupiga 11 huna jipya weweChelsea inakusubiri ikurudishe kwenye zile nightmares za miaka ya 2008 na 2009
42774277 upo aisee? Au tayari ushajitundika kitanzini?
Leo ndiyo ile siku tunasema kifo cha nyani miti yote huteleza
Utushtue mkishakamilisha taratibu za mazishi




Subiri tukutane tena. Mtamjua vizuri Tucheliban
Captain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.
#chelsea4ever
We jamaa una chuki na Chelsea sijui ilikufanyia nini kutokupewa ruhusa ya kusajili au kuongeza mikataba yetu pamoja mashabiki kutoweza kununua ticket zakucheki mechi wewe una ona sawa?Aliyetaifishwa Mali zake ni Abramovic, Chelsea ni Mali ya Abramovic ndiyomana nayo imetaigmfishwa.
Usitake kusingizia kuchukiwa wakati Siyo Abramovic pekeyake aliyetafishwa Vitu vyake hata Usamanov katifishwa Mpaka Meli yake ya Kifahari.
Kutaifishwa hakuna kuchagua bali kila kilicho chake kinahusika kutaifishwa.
Ndio imetoka hiyoMbona hata kepa kanyanyua kwapa kachukua UEFA, Europa, Supercup na kombe la club ya dunia
We jamaa una chuki na Chelsea sijui ilikufanyia nini kutokupewa ruhusa ya kusajili au kuongeza mikataba yetu pamoja mashabiki kutoweza kununua ticket zakucheki mechi wewe una ona sawa?
Nakusalimu kwa jina la Malkia mwenye timu yake Chelsea.Mbona hata kepa kanyanyua kwapa kachukua UEFA, Europa, Supercup na kombe la club ya dunia