Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Jamaa fundi sana wa kupaisha
Ana kengeza la mguu aisee..ile penati hata ningepiga mimi nisingeipeleka kule .

Itakuwa nao wamekuwa nyumbu aisee,
Wanamteteaje mtu amepiga mpira Hadi umekuja kutua kigoma
Wewe hawa watamtetea mpaka msimu mpya wa Carabao uanze msimu wa 2022 2023 hahaha inauma sana umesahau na wachezaji wao walivyoaibika kuwazima mdomo mashabiki wa Liverpool wakati wa penati hahaha kumbe sie wala hatuna noma tulikua tupo tayari.

Jota alimwalika rafiki Jaoa Felix Wembley ingekua dogo aodoke bila kuona majogoo wakipanda ngazi za Wembley kwenda kukabidgiwa mwali Hahaha.

Poleni Chelsea tugawane raha jamani nyie wa kimataifa zaidi ama vipi

YNWA
 
Nikaona hao wanabadilisha kipa
Mendy amepambana wee,wakaona apumzike...wakaingiza jamaa ana kengeza la mguu akafanya yake
 
Screenshot_20220310_123933.jpg

Mashabiki wa Chelsea ndio maana wana mnajitoa machungu kwenye jukwaa pendwa la Majogoo.

Ni rasmi sasa Chelsea ni mali ya Malikia.

OllaChuga Oc
Ryana
42774277
Hziyech22

Habari mpya ndio hiiiii.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom