Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Natarajia kuona Chelsea wakienda mahakamani kuomba clarification ya hili swala. Eti wamepewa Chelsea leseni ya muda yaaani hawa Waingereza hua wakati mwingine ni pasua kichwa sana. Ila ukiona wamewashukia hivi mazima itakua kuna sababu za kiintejelisia wamezipata kuhusu Roman na Putin maana huu mpango umekuja chap sana sio kawaida.Captain Marvelous Tukiacha ushabiki waingereza ni wapumbavu kuzuia kuongeza mikataba wachezaji pamoja na kusajili wachezaji kunahusiana vipi na vita ya ukraine na urusi Fifa walisema Serikali haitakiwi kuingilia michezo mbona hapa inakuaje? Nadhani wanachuki na wivu dhidi ya Chelsea so walitutafutia engo itawafanya watusulubu but Huu upepo utapita.
#chelsea4ever
Binafsi kwa sababu ya ushindani wa EPL sio ombi langu mpotezwa kabisa. Japo huu ni upepo naamini mtakaa sawa.
YNWA