Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,332
[emoji1552] [emoji1552] Mbona kama Salah safari imeshafika.
Between the lines ni mtihani sana.
Klopp kasema mamuuzi yapo kwa kambi ya Salah waamue wao akisema Liverpool wamejitahidi mpaka mwisho wao.
Ajabu sasa haya ndio majibu ya wakala wa Salah Rammy Abbas ni vi emoji vya kucheka khaaa
View attachment 2147259
Mpaka hapa wakuu naamini Salah aidha mkataba utaisha asepe zake ama atauzwa endapo akitokea mteja kufika ofa powa.
Kwa namna mambo yanavyokwenda itahitaji muujiza Salah kusaini mkataba mpya Liverpool.
YNWA
Nachokiona hapa tutachukua hayo makombe 4 msimu huu baada ya hapo timu inapangaranyika salah mane wote watasepa.
Tutaanza tena kutengeneza timu tuanze kumvumilia kocha. Na wachezaji wengine watafata.