Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,575
- 235,417
Njoo kwa kishua huku wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwa kishua kaeni tu nyie, nipo na city angu inanipa kile nataka.
Njoo kwa kishua huku wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwa kishua kaeni tu nyie, nipo na city angu inanipa kile nataka.
Kiukweli hakuna timu inayonichekesha safari hii kama man u😂😂😂Man Chester united fans hawawezi kugusa huu uzi na ile yetu pendwa ya Chelsea ila subiri washinde sasa[emoji2957][emoji2957][emoji2957] watakuja na analysis jins prof Rangnick alivyowafundisha ukocha Kloop na TT [emoji23][emoji23][emoji23] utacheka ufee[emoji23]
Bora wewe umekuwa mkweli na siku zote unakuwa mkweli haupo kwenye mashabiki maandaziWalitukamata vilivyo jana wametuzidi kila idara kasoro tumegawana pointi.
YNWA
Man of the match ni Mateo kovacic kitakwimu huyu ndio aliongoza kuliko mchezaji yoyote akifuatiwa na Ngolo kanteJanaa huyu Mendy au Kante ndio man of the match.. Waliupiga mwingi sana.
Hakika ni proper upgrade ya Kepa. Kwa huyu dogo ni kipa haswa.
Makipa wengi wazuri hufungwo magoli ya ajabu ajabu hivyo.
YNWA
Tuna Kepa the Best ambaye hata Allison anakatwa namba pale.Roho ilimuumaje jamani!
Anashangaa mpira uleee.
Btw jamaa uwezo mkubwa,kipindi cha pili alifight sana
Sasa imagine hawa matakataka wa OllaChuga Oc wanaenda kucheza bila huyu jamaa,,,hili timu linaenda kufia mbele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuna Kepa the Best ambaye hata Allison anakatwa namba pale.
Tukiweka ushabiki pembeni, Kati ya Kepa na Allison Nani mkali?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee niache na city yangu, nipo nayo ktk wakati wowote.Njoo kwa kishua huku wewe
Muwe mnaacha unafiki, timu ikishinda midfielder nzuri ikifanya vibaya eti midfielder utopolo, hovyo kabisa pumbavu zenu. Katika mpira kuna matokeo matatu keep it.Badala ya kununa inabidi kucheka aisee yaaani ugenini unaanza na Henderson na Milner seriously...
Ki ufupi Milner, Keita, Henderson ni utopolo..
Hahaha Jota out khaaa...
Kipara bye bye.
YNWA
We ni chimpumuTuna Kepa the Best ambaye hata Allison anakatwa namba pale.
Tukiweka ushabiki pembeni, Kati ya Kepa na Allison Nani mkali?