Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,071
- 20,332
Huyu mwamba pembeni jana sijui nilikuwa namuonaje yaani na mkoti wake[emoji38]..hovyo sana.
[emoji3]
Huyu mwamba pembeni jana sijui nilikuwa namuonaje yaani na mkoti wake[emoji38]..hovyo sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nashangaa amekimbia kimbia tu na ameigharimu timu halafu wamempa na 3!
Wanampaje tatu huyu !au wanamuogopa sana!
Yaani zile corner aisee...pale mwisho zile corner zingezaaa matunda ningewalaumu sana waliozisababisha.
Jana tulikuwa watu wa hovyohovyo tu..yaani kule mwisho hata mpira tuliacha kugusa kabisa,ulikuwa unacheza miguuni kwa chelsea tu.
Macoacher wapo nje wanakunja na kukunjua tu sura zao.
Mechi ya hivi siangalii tena,itaniuwa kwa presha bure.
Wewe ni Man u??Nikiangalia mbungi la jana
Halaf na mtifuano wa Arsenal na Man City ndo nagundua sisi Man U tumeachwa nyuma sana
Wapinzani hongereni mpo mbali sana
Kwa timu lile bovu lolote linawezekanaWewe ni Man u??
Aloo jipige kifua mara 2 halafu useme leo 'natandikwa na wolves'
Ohooo mambo yashakuwa magumu
Yaani mnapigwa,hilo siyo la kujiuliza mara 2😂Kwa timu lile bovu lolote linawezekana
Nikifikiria kiungo Fred na Mc Tominay ndo huwa nachoka yan
c mlituomba tusiwaadhirishe mana mlimwaga mboga tukamwaga ugal[emoji39][emoji39]Si mngeshinda sasa kama nyie wababe kweli
Nikiangalia mbungi la jana
Halaf na mtifuano wa Arsenal na Man City ndo nagundua sisi Man U tumeachwa nyuma sana
Wapinzani hongereni mpo mbali sana
Jamani wala hufi ila cha moto utakiona tu maana kwa hili kikosi cha kuungaunga mbona kazi ipo.Nashangaa amekimbia kimbia tu na ameigharimu timu halafu wamempa na 3!
Wanampaje tatu huyu !au wanamuogopa sana!
Yaani zile corner aisee...pale mwisho zile corner zingezaaa matunda ningewalaumu sana waliozisababisha.
Jana tulikuwa watu wa hovyohovyo tu..yaani kule mwisho hata mpira tuliacha kugusa kabisa,ulikuwa unacheza miguuni kwa chelsea tu.
Macoacher wapo nje wanakunja na kukunjua tu sura zao.
Mechi ya hivi siangalii tena,itaniuwa kwa presha bure.
Dah yaani akibahatika mtu kuniona ninavyokuwa nikiwa naangalia mechi atacheka azimie..narusha miguu,mikono,kichwa yaani ni tafrani.Jamani wala hufi ila cha moto utakiona tu maana kwa hili kikosi cha kuungaunga mbona kazi ipo.
Sasa Salah magoli huyooo zake Afcon tunabaki na Jota kama senior strika aliemzima sababu Takumi, Origi, Firmino majeruhi 🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔...
Tutaelewana tu.
Jana ile sare kwetu ni ushindi aisee maana tulisakwa kweli kweli dakika za lala salama.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utajua hujui mwaka huu. PoleeeeehDah yaani akibahatika mtu kuniona ninavyokuwa nikiwa naangalia mechi atacheka azimie..narusha miguu,mikono,kichwa yaani ni tafrani.
Sometimes namimi nakaba kama VVD.
Ila angalau jota ananitia nguvu ya kuendelea kuangalia.
Dogo umefika huku leo😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na utajua hujui mwaka huu. Poleeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huko kwa kishua kaeni tu nyie, nipo na city angu inanipa kile nataka.Dogo umefika huku leo[emoji23]
Karibu timu la kibabe LFC.
Timu yenye mashabiki wa kishua kabisa.
Hivi hakuna shabiki wa manchester united humu aliyenisumbua sumbua hii wiki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimsumbue kidogo leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Mmeanza kulia asubuhi mapema na mechi ni saa 2 usiku ..akiyanani Wolves wanawauwa hawa nyumbu leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]