Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,590
- 81,568
Dah asee ngoja tuone nini kita unfold week hizi mbili tatu.Anatufaa sana Mkuu ila sasa mwingereza yule bei itakuwa kubwa tu hatumuwezi.
Hakuna dalili zozote za usajiri aisee .
Dah asee ngoja tuone nini kita unfold week hizi mbili tatu.Anatufaa sana Mkuu ila sasa mwingereza yule bei itakuwa kubwa tu hatumuwezi.
Hakuna dalili zozote za usajiri aisee .
😂😂😂😂Man inaboa sana. Sometimes unajiuliza ina maana hawaoni kweli huu upuuzi? Labda being on the touchline doesn't give him the proper view of how poor Hendo is. Labda kwakuwa jana atakuwa ameangalia kwenye TV kama sisi labda ameona ubovu huo 😂😂😂
Huyu mwamba pembeni jana sijui nilikuwa namuonaje yaani na mkoti wake😆..hovyo sana.
Hahahaha kweli huyu ndie new OG Wenger wetu na tunae mpaka 2024.Klopp ni the New Arsene wenger at liverpool, anawamiliki wabahili, kukumbatia wachezaji majeruhi na waingereza wake( wenger ilikua wafaransa) , kinachotokea tutakua tuu timu ya top 4 lakini makombe tena hakuna, na tukisema afukuzwe tupate makombe tunarudi kuwa kama Arsenal ilivyoporomoka, cha kuikomboa hii timu ni kununuliwa na waarabu tuu
VVD kapata aje 6 huyo jana hakua na siku poa kazini...
Hivi kwani hakuna sifuri ?VVD kapata aje 6 huyo jana hakua na siku poa kazini...
Milner 4
Henderson 3 😂😂😂
YNWA
wenger baada ya kupata mafanikio na kikosi chake 2003-04, kikosi kikazeeka akawa anaintroduce vijana akidhani atapata kina viera na henry wapya ( ndio ya kina morton, jones, Elliot, williums anayofanya klop) wenzie wakawa wanasajili watu wa maana akajikuta mtu wa top4 tuu, klop alijua kuna covid, afcon, watu kushuka form akajidai nunda tuu no kusajili , alipoanza kushindashinda watu wakatubeza tuliokua tunapinga swala la kutosajili, sasa matokeo yake saivi tuna timu ya milner, hendeson, morton against spurs ugenini, hapo mane, salah washaenda AfconHahahaha kweli huyu ndie new OG Wenger wetu na tunae mpaka 2024.
Wale waarabu wa Newcastle na mpunga ule wangetua kwetu mbona kipara angehamia MLS chap sana maana tungekwenda jino kwa jino. Nimeona wale waarabu wanapeleka ofa Inter Milan duuh
Yaani eti tunavizia free players akina Zakaria, Kessie nk ndio kumfukuza Manchester City is ridiculous.
Kazi ipo.
YNWA
Hahaha ile kukimbia uwanjani huku na kule nako anapewa pointi...Hivi kwani hakuna sifuri ?
Huyu Henderson ilitakiwa apate zero..asipate chochote.
Kwanza ilitakiwa awe kwenye negative kabisa.
Nashangaa amekimbia kimbia tu na ameigharimu timu halafu wamempa na 3!Hahaha ile kukimbia uwanjani huku na kule nako anapewa pointi...
Jana tulizidiwa kila idara pass accuracy, ball possession, shot on goal, touches inside opposition goal area, corners, dangerous moves nk.
YNWA
Ubingwa sahau na top four usipokuwa makini utatolewa tu.Mkuu kimaesabu bado tunasifa zote Za kuwa bingwa.
Round ya kwanza tuna mechi mkononi na Leeds,city katuacha point 3.tukishinda tukishinda zinabaki 3 tukifungwa zitakuwa 6. Points 6 tunauwezo wakumkuta zingekuwa 15 kama za msimu uliopita ingekuwa imeisha hiyo.
Round ya pili ni marudio tu ya mechi za round ya kwanza aina tofauti sana lakini gap la points 3 na tunamechi na Leeds ili baki tatu au 6.
Sasa hivi city kuongoza inategemea na mechi alizoanzA nazo lakini Baada ya muda tutamkamata tu kama ilivyokuwa kwa chelsea watu wote walikuwa wanakubali chelsea anachukua ubingwa Msimu huu wakati chelsea anaongoza ligi kwa point 4, lakini alivyo kuja kucheza na kila timu hakaonekana hawezi na watu sasa hivi wanamkataa.
Watu wengi humu tunaangalia tu nani anaongoza ligi yaani tunafata upepo.ndio tunasema atachukua ubingwa lakini mambo yanaenda yanabadilika kipimo kizuri hiyo round ya kwanza ilivyoisha chelsea kutoka hapo juu. Ni mimi ndio nilikuwa naamini hilo,wengine hawakuelewi unaongea nini.
ilifika muda mimi peke yangu ndio nilikuwa nakataa Chelsea hawezi kuchukua ubingwa,wakati huo chelsea anaongoza ligi kwa points 4.lakini leo hii kiko wapi?
Mkuu bado tuna nafasi ya kuwa bingwa.
Usijari mimi mwarabu nimesikia maombi yenu nakuja kuinunua liverpool sasa [emoji23][emoji23]Klopp ni the New Arsene wenger at liverpool, anawamiliki wabahili, kukumbatia wachezaji majeruhi na waingereza wake( wenger ilikua wafaransa) , kinachotokea tutakua tuu timu ya top 4 lakini makombe tena hakuna, na tukisema afukuzwe tupate makombe tunarudi kuwa kama Arsenal ilivyoporomoka, cha kuikomboa hii timu ni kununuliwa na waarabu tuu