Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Man of the match ni Mateo kovacic kitakwimu huyu ndio aliongoza kuliko mchezaji yoyote akifuatiwa na Ngolo kante
Niliwai kumwambia Ollachuga Oc hawa wachezaji wawili Kante na Mateo ndio injini ya timu na nikamwambia wakibaki kua wazima bila majeruhi basi mtakua na msimu safi kabisaaa too bad wamekua na injuries za hapa na pale...

Hawa jamaa wanaingia kikosi chochote na kupata namba bila ubishi...

Lile goli la Mateo ni pure top level instinct yaaani tazama alivyorudi nyuma kujiposition hakubahatisha alijua fika top corner kipa hatofika and man there he scored such a beauty....

YNWA
 
Bora wewe umekuwa mkweli na siku zote unakuwa mkweli haupo kwenye mashabiki maandazi
Tuna shinda kubwa sana japo kama mashabiki hua tunatoka kifua mbele kusema tupo kwenye mbio za ubingwa lakini hiki kikosi tumepata reality check mechi zifuatazo na zote tume drop pointi..

Tumeachwa pointi 11 na Manchester City kutokana na matokeo haya.

*Mechi ya Chelsea wakiwa Anfield tukashindwa kutoka na pointi 3 muhimu. Mechi iliisha sare 1 1.

* Mechi ya Brentford sare ya 3 3 huku mpaka dakika ya 82 tukiwa tunaongoza 3 2 lakini wakaja rudisha goli na mechi ikaisha 3 3.

* mechi Manchester City Anfield tuliongoza goli 2 1 mpaka dakika ya 81 Debruyne akaja shawashiza mechi ikaisha 2 2.

* Mechi ya Tottenham tuliongoza 2 1 mpaka dakika 74 wakarudisha mechi ikaisha 2 2.

*Jana vs rejuvenated Chelsea Mkuu tuliongoza 2 bila lakini muda si mrefu zote zikarudi mechi ikaisha 2 2.

Matokeo hayo yote asilimia kubwa tumedrop pointi kutokana na kua na MF dhaifu.

Muda wa usajili ndio huu kama kweli FSG wanahitaji hizi pointi isiwe tunazikosa hivi basi tunahitaji kuona wakinunua angalau baller mmoja.

There you are shida ni middle

Klopp needs to take the issue serious
 
There you are shida ni middle

Klopp needs to take the issue serious
Heri ya mwaka mpya Mkuu .

Hakika maswali sasa yanakua mengi kwa Klopp na majibu ni uwanjani intensity pale kati bila Thiago inapwaya sana.

Hatuna consistency pale kati kupoza joto pale wanapohitajika hatuwaoni...

Last season majeruhi ya mabeki yalitupora msimu mzima, msimu huu kutoingia sokoni kununua MF maamuzi ya kumwachia Gini yanatu cost sana.

YNWA
 
Duu hivi kumbe tunauza dead woods na ela inakwenda kwa Yankees badala irejeshwa kikosini kununua wachezaji...

Soon utaona FSG out ma bango Anfield wewe subiri maana uvumilivu una mwisho.

🤔🤔🤔Au tumrudishe Solanke hahaha dogo yupo motoo 🔥 🔥 🔥 🔥 yaani huko Championship hakamatika next season wanarejea EPl mazima.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom