Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tuje kwenu tena mara ya ngapi unaonekana haujui hata kuwa hyo game ya Jana ndo second tie baada ya Ile sare 1-1 pale anfield
SAWA.
Kwani hamtakuja tena maisha yenu yote
JamiiForums-1639850947.jpg
 
Our biggest problem jana ni Fabinho kukosa support

I don’t know why the subbed Milner instead of the captain who is having a very bad patch

Trent continued to be porous as well

Time for Trent to move up and we find a new right back , we need permanent replacement ya gini na hendo as well
 
Mimi nilikuwa najiuliza sana hizi midfielder zilizo kuwepo leo ndio mpango wa Klopp kabla ya covid? Hivi kwa game ngum kama ya leo unamuweka Milner!

Leo mechi imekuwa ngumu. Mwanzo mlisema mechi nyepesi[emoji23][emoji23][emoji23]

Second half ball Possession

Chelsea 79% vs Livepool 21%

Mmepelekewa moto hatari[emoji23][emoji23]
 
Mkuu nje hakuna mchezaji wakuingia Mkuu usilaumu sana.

Wachezaji tegemezi wote wana COVID-19, sasa nani atacheza.

angekuwa Ali ,matip,Thiago hapo sub angeingi Bobby lakini sasa hatuna wachezaji.

Mechi na Spurs wachezaji walikuwa na COVID-19, na mechi hii pia wana Covid-19 tena wengine mpaka inatia hasira .

Wiki ijayo wengine watakuwa na COVID.

Salah,mane ,matip na keita wanaondoka sasa hao wengine wanaobaki na wao wakiumwa COVID tutashindwa kupata point kwa sababu za kijinga sana.

Hatuna kikosi kipana wachezaji sasa wajilinde.

Yaani Salah na Mane wakiondoka na hiz Covid covid tutawaokota huko nafasi ya kumi na kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mlifurahi sana wachezaji wetu tegemezi walivyopata covid. Ee Mungu tuepushe na hili janga
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]
Ndio nasema mpeni na hiyo adake.
Na hamtoboi ng'oo..timu linaenda kuporomoka.
we piga ramli2 jana umeponea chupuchupu niliwaambia amna tim isiyoogopa kucheza na ss
 
Yaani jamaa alikuwa anaonekana kabisaaa anasindikiza.
Ipo tatizo lile jeraha la msimu mzima kuna uoga fulani jamaa amepata ni ngumu kumlaumu maana ilikua mbaya na mpaka kupona hatujui kapitia yapi..

Konate na Matip wamekua wa kawaida sana msimu huu na VVD ndio hivi na ukweli EPL bila ulinzi imara basi ubingwa ni ngumu kuupata.

YNWA
 
Alafu Mendy huwa anafungwa magoli ya kizembe kweli ila ile miwa yenyewe unaona ni goli ndio anatoa, jamaa anakera.
Janaa huyu Mendy au Kante ndio man of the match.. Waliupiga mwingi sana.

Hakika ni proper upgrade ya Kepa. Kwa huyu dogo ni kipa haswa.

Makipa wengi wazuri hufungwo magoli ya ajabu ajabu hivyo.

YNWA
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]we piga ramli2 jana umeponea chupuchupu niliwaambia amna tim isiyoogopa kucheza na ss
Si mngeshinda sasa kama nyie wababe kweli
 
Kipa pale usimlaumu mkuu. Ile move kaianza Hendo badala ya ku clear mpira aoshe uende hata nje akampasi Trent pass ya hovyo tena akiwa under pressure. Hendo ndio ametu cost game ya leo wala halina ubishi hilo.
Hendo ni headless chicken. Japo huyu Edwards na Klopp wanasifika kwa biashara safi ya wachezaji nashindwa kuelewa huyu Hendo amepewa mkataba mpya wa nini. Hii ishu MosDef alieelezea kwa kina sana.
Kingine Edwards alijua fika tuna pancha Keita na semi pancha Hendo na Ox lakini bado akatuletea Thiago pancha nyingine kwa kweli huku ku pwaya kwa MFs alaumiwe Klopp na Edwards kwa baishara za hovyo kabisa. Ajabu wakamwachia Mr Fit Gini kuodoka bure kisa alitaka miaka 3 mkataba mpya na mwaka mmoja optional.

Jana Lukaku baada ya kufanya ile interview na Sky Italy na kuongea maneno fulani ya kutoridhika kocha wakw chap akamtupa hukooo. Nimeipenda sana ile kuonyesha hakuna mchezaji aliezaidi ya Chelsea. Kwa Liverpool bhana kuna wachezaji sana sana hawa watoto wa malkia ni zaidi ya Klopp aisee maana unavyotegemea kocha awe na msimamo kutokana na output uwanjani ndio mchezaji apate dakika ni tofauti kabisa.

Niliona Henderson alivyotolewa ile mechi ya Leicester alionyesha dharau fulani kuukwepa mkono wa Klopp yaaani haya matukio yake ya hivi ni mengi sana na bado uwajani zaidi ya kutuumiza hakuna anacho offer.

Hawa kuna namna wanakuwa favoured.
Sasa ngoja tuimbe wimbo mmoja na kale kapuuzi kalikokuwa kanamdiss Mane.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom