Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni vile tu kikosi chetu kilikuwa kibovu..chelsea wabovu sana.
Km n wabovu Sana wangekuwa wanaongoza kufungwa goli nyingi mpk sasa. Cha ajabu mpk nyinyi tumewazidi Kwa kufungwa goli chache.....hyo sentensi yako haiondoi maumivu ya kamubaki[emoji23]
 
Wewe subiri ukutane hata na Arsenal tu akuoneshe show.

Sisi timu za London hatuna mchezo.
Hamna mchezo wapi wakati timu lenu linachapwa,
Hivi city anaenda kuwatandika.

Walete hao Asenali wako uone tunavyowanyoosha.
 
Mna mchezaji gani wa maana wa kati.

Mbona mimi siongelei mgogoro wa Lukaku na wachezaji wangu wengine wa muhimu kama James na Chilwell?

Ningekuwa full there is no way hiyo game wewe ungechomoka.
Wachezaji wote ni wa maana
Wasingekuwa wa maana wasingekuwepo pale.

Sasa sisi tungekuwa full unadhani tungewaacha salama?
 
Unapigwa goal mbili ndani ya dakika 4 kwa forward line ile ya chelsea?

Huwezi kuwa serious.

Hats sisi wenyewe tulidata maana siyo kawaida.
Mbona hata nyie tuliwafunga goli 2 hivyohivyo?
Kwako shida ni dakika na siyo magoli?
 
Sasa kama ni wa maana mbona hamjashinda jana.

Kubalini tu timu yenu kuna watu wasipokuwepo ni takataka.

Mbona sisi tunakubali majeruhi ya wing back zetu yametuathiri?
Hata nyie mbona hamjashinda??
Ndio ujue siku hazilingani...
Na mlivyokuwa hamuamini mmefurahia draw yaani.
Subiri mje kwetu tena pale kiumeni Anfield tuwanyooshe .
 
Sisi tutatumuweka Keppa golini.

Ameshawahi daka match ya man city msimu ukiopita na tukashinda.


Nyie ndio udhaifu wenu unaenda kuwa exposed rasmi.

Mtajua hamjui.
Muwekeni awadakie na mechi ijayo ya man city[emoji23][emoji23]
Kipigo kipo nje nje.
Na hivi mkombozi wenu mbeba timu bovu ameondoka zake kwenda kucheza kwao...sasa mtapoteana.

Unaanza kuniogopesha kuhusu kipa wakati wa kwetu yupo,soon anarudi na hata asiporudi atadaka Kaleher huyuhuyu.
 
Mendy jana amelala anaota lile shuti la Mo tu[emoji23][emoji23]
Roho ilimuumaje jamani!
Anashangaa mpira uleee.
Btw jamaa uwezo mkubwa,kipindi cha pili alifight sana


Sasa imagine hawa matakataka wa OllaChuga Oc wanaenda kucheza bila huyu jamaa,,,hili timu linaenda kufia mbele.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom