Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liver hana mF ya kueleweka huwezi kukubali hili.

Ndioo maana TAA ni beki ila ana mchango mkubwa kwenye magoal tenu kuliko hao watu wenu wa kati unaowasifia.
Sasa subiri nao warudi utaona.
Unadhani Trent ataweza cheza pekeyake na kushinda bila msaada wa wengine?!?
 
Muwekeni awadakie na mechi ijayo ya man city[emoji23][emoji23]
Kipigo kipo nje nje.
Na hivi mkombozi wenu mbeba timu bovu ameondoka zake kwenda kucheza kwao...sasa mtapoteana.

Unaanza kuniogopesha kuhusu kipa wakati wa kwetu yupo,soon anarudi na hata asiporudi atadaka Kaleher huyuhuyu.
Kwani ni mara ya kwanza Mendy kudaka match ya man city? na tukashinda?

Uwe unaangalia mpira
 
Roho ilimuumaje jamani!
Anashangaa mpira uleee.
Btw jamaa uwezo mkubwa,kipindi cha pili alifight sana


Sasa imagine hawa matakataka wa OllaChuga Oc wanaenda kucheza bila huyu jamaa,,,hili timu linaenda kufia mbele.
Wewe subiri tu... Me ntakukumbusha hao kina salah na mane wana umuhimu gani.

Wenzako wanaelewa kitakachowapata.
 
Si tulikuja mkashindwa kutunyoosha?

Hivi ulikuwa hujazaliwa wakati tupo 10 uwanjani na mkashindwa kutufunga?
Tunaongelea mechi za sasa..hatuongelei mechi zilizopita miaka ya MWALIMU.

njoeni sasa muone kazi yetu[emoji3]
 
Ndio nasema mpeni na hiyo adake.
Na hamtoboi ng'oo..timu linaenda kuporomoka.
Hiyo match wakati inachezwa weee ulikuwa hujazaliwa kwa hiyo kaa kwa kutulia.

Screenshot_2022-01-03-08-02-21-926_com.mobilefootie.wc2010.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom