Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Mambo ni mengi muda ishu..Jitahidi mkuu.
Umedelay muda mrefu kunifanyia mwendelezo[emoji19]
No worries.
YNWA
Mambo ni mengi muda ishu..Jitahidi mkuu.
Umedelay muda mrefu kunifanyia mwendelezo[emoji19]
Jana limekimbia kimbia tu uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23]Bora angekaa kimya.
YNWA
[emoji56][emoji109]Mambo ni mengi muda ishu..
No worries.
YNWA
Bure kabisa.Jana limekimbia kimbia tu uwanjani[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwakweli Klopp mimi ndio naanza kumlaumu maana ndio anapenda kumtumia. Yani Hendo hata babu Milner na uzee wake unaona anapambania team kinyama japo unaona kuna muda akili inataka ila mwili unakataa ila Hendo hata ku control mpira hawezi. Kupiga hata pass hakuna. Ni heri angecheza tu hata Morton.Hendo ni headless chicken. Japo huyu Edwards na Klopp wanasifika kwa biashara safi ya wachezaji nashindwa kuelewa huyu Hendo amepewa mkataba mpya wa nini. Hii ishu MosDef alieelezea kwa kina sana.
Kingine Edwards alijua fika tuna pancha Keita na semi pancha Hendo na Ox lakini bado akatuletea Thiago pancha nyingine kwa kweli huku ku pwaya kwa MFs alaumiwe Klopp na Edwards kwa baishara za hovyo kabisa. Ajabu wakamwachia Mr Fit Gini kuodoka bure kisa alitaka miaka 3 mkataba mpya na mwaka mmoja optional.
Jana Lukaku baada ya kufanya ile interview na Sky Italy na kuongea maneno fulani ya kutoridhika kocha wakw chap akamtupa hukooo. Nimeipenda sana ile kuonyesha hakuna mchezaji aliezaidi ya Chelsea. Kwa Liverpool bhana kuna wachezaji sana sana hawa watoto wa malkia ni zaidi ya Klopp aisee maana unavyotegemea kocha awe na msimamo kutokana na output uwanjani ndio mchezaji apate dakika ni tofauti kabisa.
Niliona Henderson alivyotolewa ile mechi ya Leicester alionyesha dharau fulani kuukwepa mkono wa Klopp yaaani haya matukio yake ya hivi ni mengi sana na bado uwajani zaidi ya kutuumiza hakuna anacho offer.
YNWA
Wanampanga wa nini?Bure kabisa.
Aafu tunalo June 2025 yaaani imagine miaka mitatu ya huu utopolo duuh eti lilitishia kwenda PSG ambapo hata Gini namba anaikosa..
Huyu Henderson ni kikwazo kwa Klopp.
Ugenini gemu ya kutafuta pointi unaweka pedestrians wawili ambao ni useless with the ball na useless without the ball.
Tazama without the balk Milner akatoa foul tukapigwa la kwanza.
Tazama with the ball Henderson akatoa pasi ya hovyo kwa Trent tukapigwa la pili.
Jana hawa Ma Captain wetu wameuza mechi useless kabisa in decision making.
YNWA
Haina maajabu lakin mmeifunga? Vp lakin supu mlifanikisha kuinywa?Now you are talking... Shukuruni Mungu Lukaku ana mgogoro na Kocha, Otherwise.... Leo mngekufa vibaya sana.
Timu yenu haina maajabu. Muache kutusubumbua.
Klopp ni kocha mzuri ila ikija kwenye individual player management ana kasoro aisee sijui ana mapenzi gani na huyu dogo. Ajabu sasa sifa zake hata kwa pundits sio kwa kucheza mpira eti ni kiongozi nje ya uwanja na kiongozi uwanjani hell no saaa kwani 1st priority yake ni performance uwajani haya mengine ni by the way tu hayatusaidii.Kwakweli Klopp mimi ndio naanza kumlaumu maana ndio anapenda kumtumia. Yani Hendo hata babu Milner na uzee wake unaona anapambania team kinyama japo unaona kuna muda akili inataka ila mwili unakataa ila Hendo hata ku control mpira hawezi. Kupiga hata pass hakuna. Ni heri angecheza tu hata Morton.
Klopp sasa ifikie muda akili imwingie ana ajue kabisa Hendo muda wake umeisha bora arudi Sunderland tu huko.
Sijajua kama hii winter tutafanya business yoyote ila tunahitaji backup yakutosha hasa MF. Pale mchezaji reliable ni Fabinho tu wengine wote ni either injury prone au fringes.
Tunahitaji back up katika midfield. Hivi Declan Rice hatufai?
Kwani salah hakukosa goli la wazi yeye na kipa?We hujaangalia mpira yaani match inaanza tu, Pulisic kakosa goal la wazi yeye tu na kipa.
Makuku yana utitiri...Haina maajabu lakin mmeifunga? Vp lakin supu mlifanikisha kuinywa?
Kabisa mkuuMpaka afcon iishe ,Kuna team zitakuwa ziko hali mbaya
Ukihitaji kutolea watu wenye bahati duniani basi huyu Captain yupo nambari 1 kabisaa...Wanampanga wa nini?
Au amewaroga😂😂😂
2025 chaaa!
Kwakweli kwa hapa hata mimi nalielewa hili [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Wewe subiri tu... Me ntakukumbusha hao kina salah na mane wana umuhimu gani.
Wenzako wanaelewa kitakachowapata.
Kwakweli moto tulipelekewa lakin je' matokeo walipata?Leo mechi imekuwa ngumu. Mwanzo mlisema mechi nyepesi[emoji23][emoji23][emoji23]
Second half ball Possession
Chelsea 79% vs Livepool 21%
Mmepelekewa moto hatari[emoji23][emoji23]
Kwahiyo jana mmeshinda? Maana muhim huwa ni matokeo.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji16][emoji16][emoji16]we piga ramli2 jana umeponea chupuchupu niliwaambia amna tim isiyoogopa kucheza na ss
Kwakweli Klopp mimi ndio naanza kumlaumu maana ndio anapenda kumtumia. Yani Hendo hata babu Milner na uzee wake unaona anapambania team kinyama japo unaona kuna muda akili inataka ila mwili unakataa ila Hendo hata ku control mpira hawezi. Kupiga hata pass hakuna. Ni heri angecheza tu hata Morton.
Klopp sasa ifikie muda akili imwingie ana ajue kabisa Hendo muda wake umeisha bora arudi Sunderland tu huko.
Sijajua kama hii winter tutafanya business yoyote ila tunahitaji backup yakutosha hasa MF. Pale mchezaji reliable ni Fabinho tu wengine wote ni either injury prone au fringes.
Tunahitaji back up katika midfield. Hivi Declan Rice hatufai?
Klopp ni the New Arsene wenger at liverpool, anawamiliki wabahili, kukumbatia wachezaji majeruhi na waingereza wake( wenger ilikua wafaransa) , kinachotokea tutakua tuu timu ya top 4 lakini makombe tena hakuna, na tukisema afukuzwe tupate makombe tunarudi kuwa kama Arsenal ilivyoporomoka, cha kuikomboa hii timu ni kununuliwa na waarabu tuuKlopp ni kocha mzuri ila ikija kwenye individual player management ana kasoro aisee sijui ana mapenzi gani na huyu dogo. Ajabu sasa sifa zake hata kwa pundits sio kwa kucheza mpira eti ni kiongozi nje ya uwanja na kiongozi uwanjani hell no saaa kwani 1st priority yake ni performance uwajani haya mengine ni by the way tu hayatusaidii.
Since 2015 Klopp ametua tumeshinda EPL moja tu yaaani moko. Maswali sasa yataanza kuhitaji majibu regardless ya mabilioni ya Mansour bado naamini tungekua angalau ni 3 mpaka saaa kwa kua MF inayoeleweka sio kama huu utopolo wa sasa aidha wanaumwo ama kiwango kipo likizo.
Klopp has some queries to answer no way we can have this poor MFs day in day out na tukaruhusu ever fit ever present Gini aodoke. Japo anaweza kujitetea kwamba Elliott ndio kete yake kwa Gini lakini boy only 18 he has a long way to go.
Bill Shankly alifeli hivi hivi kuwakumbatia wachezaji waliochoka na mwishowe kibarua akikosa akaja Bob na kuwatimua na kusuka upya kikosi na man he won n won n won.
YNWA
Man inaboa sana. Sometimes unajiuliza ina maana hawaoni kweli huu upuuzi? Labda being on the touchline doesn't give him the proper view of how poor Hendo is. Labda kwakuwa jana atakuwa ameangalia kwenye TV kama sisi labda ameona ubovu huo 😂😂😂Klopp ni kocha mzuri ila ikija kwenye individual player management ana kasoro aisee sijui ana mapenzi gani na huyu dogo. Ajabu sasa sifa zake hata kwa pundits sio kwa kucheza mpira eti ni kiongozi nje ya uwanja na kiongozi uwanjani hell no saaa kwani 1st priority yake ni performance uwajani haya mengine ni by the way tu hayatusaidii.
Since 2015 Klopp ametua tumeshinda EPL moja tu yaaani moko. Maswali sasa yataanza kuhitaji majibu regardless ya mabilioni ya Mansour bado naamini tungekua angalau ni 3 mpaka saaa kwa kua MF inayoeleweka sio kama huu utopolo wa sasa aidha wanaumwo ama kiwango kipo likizo.
Klopp has some queries to answer no way we can have this poor MFs day in day out na tukaruhusu ever fit ever present Gini aodoke. Japo anaweza kujitetea kwamba Elliott ndio kete yake kwa Gini lakini boy only 18 he has a long way to go.
Bill Shankly alifeli hivi hivi kuwakumbatia wachezaji waliochoka na mwishowe kibarua akikosa akaja Bob na kuwatimua na kusuka upya kikosi na man he won n won n won.
YNWA