Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,213
- 20,988
Huyu Ali Bakar mbona kalegea kiasi hichi au ala urojo?
Hatimae mmefufuka baada ya draw ya janaNaona mnalambwa lambwa wazee wa pira biriyani..![]()



Ngoja wanangu wagonga nyundo wafanyr kazi yao Kwanza.Hatimae mmefufuka baada ya draw ya jana![]()
Ngoja tuoneNgoja wanangu wagonga nyundo wafanyr kazi yao Kwanza.
Aisee 1st half mchakamchaka sana...
Presha ilipanda mbaya...Duuuh ile tackle ya VVD dakika za mwisho inaweza kua tackle of the season.. Ile ilikua goal scoring opportunity lakini VVD with cool head kaizima very calmly...
YNWA
Ngoja tuone dk45 za mwishoAisee 1st half mchakamchaka sana...
YNWA
kabisa