Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Napita pita kwa pundits majuu naona wengine wanatarajia tupigwe ama sare..

Yaani ugenini msimu huu tuna jambo letu Moyes atulie tu maana hii gemu ni show stopper kabla ya break ya International hivyo tunahitaji kufikisha pointi 25 kwa kuangalia pia matokeo ya washindani inabidi tuwe kwenye mix...

YNWA
Hahaha hao wapiga ramli tu wala maneno yao yasikupe pressure. Before season ianze hakuna alietupa nafasi hata ya kuwa top four. Angalia Man U walipewa nafasi sana ya kuwa hata title contenders lakini waone walivyo sasa.

Hao pundits ni wapiga ramli tu hamna chochote. Maneno yao hayana impact kwenye performance ya team.
 
Hahahaha yaaani ma pundits kazi yao kuu ndio hio wakati mwingine wanatoa ramli za ukweli sana... Tazama zamani enzi ya Karius bwana Neville alisema bila kupepesa macho Klopp hutashinda kombe lolote kwa kipa au mabeki hawa japo Klopp kama kawaida yake alikua very defensive kwa wachezaji wako lakini soon tukawaona VVD na Alisson na hatimae tupo juuuuuu rest is history...

Jana pundit Keane former Manchester United player kama kawaida yake amesema amenyanyua mikono yake kwa wachezaji wa Ole yaaani anasema hawaelewiki wapo wapo tu very easy to play against....

Leo pundit Judas Owen kasema tunashinda 2 safi kabisaaaa... Na binafsi natarajia huo ushindi..

Hahaha ngoja tuone bana.
 
Mimi waingereza bana nakuwaga na wasiwasi nao sana. Ila nimemuangalia Bowen naona ana kitu anaweza kutupa.
Bwana wee huyu dogo ana mishe balaa actually huyu ni ready made for Klopp maana dogo work rate, energy output ni design ya Klopp kabisaaa hopefully jezi haitakua nzito kwake...
Pazuri Klopp hajaficha anasema wazi wazi ana mu admire sana dogo who knows what the future holds...

Ian Wright namuamini sana
 
Let's hope for the best. Kama tutampata tumpate kwa dau zuri na akija aonyeshe uwezo.

Mimj bado nalia na Bussouma. Jana nimeangalia Brighton vs Newcastle nimemuona akitawala dimba vuzuri. Yule anatufaa kabisa asee.

Leandro Trossard vipi Captain unamuonaje yule dogo?
 
Mkuu hiyo game na westham iko wazi kabisa ni uhakika tunachukua point 3 asubuhi na mapema. Utaratibu wa kugawa dozi ni tunafanya goli kuanzia mbili na kuendelea,hatushindi ushindi wa goli moja.

Away tuko moto sana,west ham anatusumbuaga anfield hapo kwake tunajipigia kiulaini
Hahaha hawa hata Anfield hua hawana chao ki vile.. Kabla ule ushindi wao 2017 kama sikosei walitupiga 3 walikaa miaka 63 bila kushinda Anfield kwenye Ligi..

Uzuri ugenini msimu huu tupo fire sanaa..

Tunachokosa kwa umakini ni plan to kill the game yaaani hii kwetu ni tatizo kubwa kwa sasa.. Tazama gemu ya Brentford na Brighton yaaani zilikua done and dusted but hatuku control the games when its mattered..

Trossard mpaka unamtuliza Maupay benchi ndio ujue dogo yupo kikazi zaidi japo ana mishe nyingi wakati mwingine zinamnyima scoring opportunities kwa kifupi ni work in progress na chini ya Mwamba Klopp basi atakua levo zingine..

Bissouma deal yake mpaka sasa ni dhahiri ipo mikononi mwa Edwards hivyo tusubiri habari njema kabisa..

Dau la Bowen being a British player itakua over £25m... Ngoja tusubiri mipango ya Klopp.

Klopp kwenye kununua hua hanaga papara yaani akikosa wachezaji anaowataka basi hanunui kabisa. Tazama VVD enzi zile mpaka Southampton wanaturipoti lakini alivumilia mpaka akaja kumpata..

Ngoja tuone mambo yatakavyo kuwa. In Klopp i trust.
 
Mkuu hiyo game na westham iko wazi kabisa ni uhakika tunachukua point 3 asubuhi na mapema. Utaratibu wa kugawa dozi ni tunafanya goli kuanzia mbili na kuendelea,hatushindi ushindi wa goli moja.

Away tuko moto sana,west ham anatusumbuaga anfield hapo kwake tunajipigia kiulaini
Leo WEST HAM 0 - 4 LIVERPOOL FC
 
Hahaha hawa hata Anfield hua hawana chao ki vile.. Kabla ule ushindi wao 2017 kama sikosei walitupiga 3 walikaa miaka 63 bila kushinda Anfield kwenye Ligi..

Uzuri ugenini msimu huu tupo fire sanaa..

Tunachokosa kwa umakini ni plan to kill the game yaaani hii kwetu ni tatizo kubwa kwa sasa.. Tazama gemu ya Brentford na Brighton yaaani zilikua done and dusted but hatuku control the games when its mattered..

YNWA
Mechi tuliyo droo kiuhalali kabisa ni ile vs Mancity tu, game nyingine zote tume draw kwa uzembe wetu wenyewe.
 
Read these quotes and tell us 'sTeVeN gErRaRd WaS oVeRrAted'

Sir Alex Ferguson: “If you were looking for the player you would replace Roy Keane with, it would be Gerrard, without question."

Jose Mourinho: “I tried to bring him to Chelsea, I tried to bring him to Inter, I tried to bring him to Real Madrid, but he was always a dear enemy."

Zinedine Zidane: “There was a point when Gerrard was the best midfield player in the world."

Fernando Torres: "He is without doubt the greatest player I have ever played with, he has everything.”

Pele: “To me he is one of the super best midfielders in the world. He is an excellent player.”

Patrick Vieira: "I heard what Alex Ferguson said about him being better than me. He’s probably right."

Luis Suarez: “There are a small number of players in the world that are irreplaceable, and Steven is one of them."

Francesco Totti: “Gerrard would be the captain of my World XI dream team. Gerrard is a complete player because he can play in every position and can do everything with a football at any time in a game."

Kaka: “For me, and I have always said this, he will be regarded as one of the greatest midfielders ever. No doubt.”

Andrea Pirlo: “While at Milan [Carlo] Ancelotti came to me and said, ‘I want to sign Gerrard to play next to you in midfield – what do you think?’ Without any hesitation I told him, ‘Do it – go and sign him.’"

Five years since one of the all-time great midfielders played the final match of his career
 
Hata ya Man City tuli draw kizembe. Lakini sio mbaya kama ile draw ya chelsea wakiwa 10 na Brentford na Brighton.

Kiujumla tumepoza points 8 kizembe. 6 kutoka katika winning position, except ya Chelsea ambayo ndio walianza kutufunga wao.
 
Mimi waingereza bana nakuwaga na wasiwasi nao sana. Ila nimemuangalia Bowen naona ana kitu anaweza kutupa.

Ubaya wa waingereza ukishakuwanao kwenye Timu lazima wacheze na hawauzwi kirahisi! Hebu angalia Milner kesho utasikia ameongezwa mkataba wa miaka 2.

Na Hendo analazimshwa awe ni Legend mkubwa kuliko hata kina John Barnes.
 
Read these quotes and tell us 'sTeVeN gErRaRd WaS oVeRrAted'

Sir Alex Ferguson: “If you were looking for the player you would replace Roy Keane with, it would be Gerrard, without question."

Jose Mourinho: “I tried to bring him to Chelsea, I tried to bring him to Inter, I tried to bring him to Real Madrid, but he was always a dear enemy."

Zinedine Zidane: “There was a point when Gerrard was the best midfield player in the world."

Fernando Torres: "He is without doubt the greatest player I have ever played with, he has everything.”

Pele: “To me he is one of the super best midfielders in the world. He is an excellent player.”

Patrick Vieira: "I heard what Alex Ferguson said about him being better than me. He’s probably right."

Luis Suarez: “There are a small number of players in the world that are irreplaceable, and Steven is one of them."

Francesco Totti: “Gerrard would be the captain of my World XI dream team. Gerrard is a complete player because he can play in every position and can do everything with a football at any time in a game."

Kaka: “For me, and I have always said this, he will be regarded as one of the greatest midfielders ever. No doubt.”

Andrea Pirlo: “While at Milan [Carlo] Ancelotti came to me and said, ‘I want to sign Gerrard to play next to you in midfield – what do you think?’ Without any hesitation I told him, ‘Do it – go and sign him.’"

Five years since one of the all-time great midfielders played the final match of his career
Without a grain of doubt he's one of the best our generation has witnessed.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom