Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,760
- 6,323
Match draw hii nakwambiaIle kauli still unbeaten bado IPO huko kwenu?![]()
Match draw hii nakwambiaIle kauli still unbeaten bado IPO huko kwenu?![]()
Tumecheza mechi ngumu mfululizo UCL na EPL almost kikosi kile kile hawa wachezaji sio ma robot kuna wear and tear na hii inachangiwa na ufinyu wa kikosi..😂😂😂😂😂😂Dah bro tusubiri maumivu dk 90 ikifika
Hahaha Origi the cult hero...
Huyu jamaa magoli yake yaaani..
YNWA
Hahaha yaaaani magoli yake sasa yaaani...Orig ni supersub ila kashesh aanze first XI
Klopp leo kafanya panic sub na kama kawaida dogo hua akifunga ni magoli fulani hivi amazing...Sijajua kwann kocha amuamini huyu jamaa
TV yako tiyari nn
3_3 ndio nn mbona wanistua mkuuuu tupo kijijin je kweli au unazingua mkuuu
Kwan umeisha?Sisi bado ni unbeaten![]()
John dillinger kweli au jamaaa anazinguaTV yako tiyari nn
Ushindi lazima...
Ynwa
Hahah nunua kwan wamekukatazaTumecheza mechi ngumu mfululizo UCL na EPL almost kikosi kile kile hawa wachezaji sio ma robot kuna wear and tear na hii inachangiwa na ufinyu wa kikosi..
YNWA