Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Rent boyz [emoji3].

Wamepata sare huko .sasa hivi akili zitaanza kuwa kaa sawa .

Mkuu kwani ninyi mlivyopata sare akili iliwakaa sawa.

Kujidai ni kwa kila timu kabla ya mchezo na baada ya mchezo.

Mfano leo mbano wote mnasema mnaenda kushinda. Tayari mna matokeo mkononi au mfukoni. Kwenye mpira lazima tujitape kabla ya mechi. Na baada ya mechi.

Ukifungwa umesidiwa mbinu ukishinda umemzidi mpinzani wako mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mechi tuliyo droo kiuhalali kabisa ni ile vs Mancity tu, game nyingine zote tume draw kwa uzembe wetu wenyewe.
Inanikumbusha zile sare za 2018 2019 tulitoa sare Leicester, Westham na Manchester United zilitunyima ubingwa hivi hivi yaaani kuliko kua na sare mbili bora upigwe hata mara moja na kuanze mishe upya...

YNWA
 
Mkuu kwani ninyi mlivyopata sare akili iliwakaa sawa.

Kujidai ni kwa kila timu kabla ya mchezo na baada ya mchezo.

Mfano leo mbano wote mnasema mnaenda kushinda. Tayari mna matokeo mkononi au mfukoni. Kwenye mpira lazima tujitape kabla ya mechi. Na baada ya mechi.

Ukifungwa umesidiwa mbinu ukishinda umemzidi mpinzani wako mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu mpira umeanza kuangalia lini?

Mkuu timu yangu naijua vizuri sana,sijaanza kuangalia mpira leo mkuu.

Timu yangu kufungwa au kutokufanya vizuri na kuwa najua tatizo ni nini.

Mechi ya leo wachezaji niliokuwa nataka wawe Po wapo.

Leo ushindi ni uhakika asilimia 100.

Kikosi chetu kiko kamili.
 
Kumbuka ni wanaume 11 against wanaume 11 ....

Wale wa westham tujuane mapema .....[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hey Saint Anne leo mechi yetu EPL ni saa moja unusu saa za Afrika Mashariki...

Liverpool tutakua ugenini London Stadium kuwavaa rejuvenated Westham..

YNWA
Asante mkuu[emoji120]
I appreciate this [emoji120][emoji120][emoji120]

Ngoja nikaze moyo nitazame.
Tutashinda hopefully.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20211107-WA0006.jpg
 
Asante mkuu[emoji120]
I appreciate this [emoji120][emoji120][emoji120]

Ngoja nikaze moyo nitazame.
Tutashinda hopefully.

Sent using Jamii Forums mobile app
Westham wameanza msimu huu vizuri sana ni mwanzo mwema sana kwa Moyes tangu ameanza kuwanoa hawa jamaa..

Kwetu moto ni ule ule tunahitaji pointi 3 muhimu sana kabla ya break mechi za kimataifa hivyo vijana naamini watapambana vyema kuhakikisha London tunaodoka na pointi 3 murwa sana..

Dogo Ox kocha ameshateta nae maana ndio weak link ya MF hivyo kuanzia mechi ya Atletico Madrid ameaonyesha kuelewa majukumu yake uwanjani..

YNWA
 
Wembe ni ule ule 4 3 3...

Over to you Moyes we need this 3 points no buts or ifs just 3 points...

Henderson, Fabinho, Oxlade-Chamberlain guys guys may the lucky 🌟 shine on you today, we need the right tempo, right passes, right runs, right tackles, right position, no empty pockets, no useless tricks,... We need cool heads.

Matip/VVD timely runs and body position is the key..

YNWA
 
Westham wameanza msimu huu vizuri sana ni mwanzo mwema sana kwa Moyes tangu ameanza kuwanoa hawa jamaa..

Kwetu moto ni ule ule tunahitaji pointi 3 muhimu sana kabla ya break mechi za kimataifa hivyo vijana naamini watapambana vyema kuhakikisha London tunaodoka na pointi 3 murwa sana..

Dogo Ox kocha ameshateta nae maana ndio weak link ya MF hivyo kuanzia mechi ya Atletico Madrid ameaonyesha kuelewa majukumu yake uwanjani..

YNWA
YNWA[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Baba Swalehe Where are you?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini ushindi jionii hii ya leo, nimeshaa mbele ya TV na kinywaji changu hapa kujionea mpira wa uhakika..

#YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom