John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,040
Mkizubaa arsenane wamewapita[emoji23][emoji23]
YNWA[emoji23][emoji23]
YNWA[emoji23][emoji23]
Kuna faul niliona goli kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]3_3 ndio nn mbona wanistua mkuuuu tupo kijijin je kweli au unazingua mkuuu
Anazingua mzigo umeshaisha 3-2John dillinger kweli au jamaaa anazingua
Hahaha unatari sana mkuuKuna faul niliona goli kabisa [emoji28][emoji28][emoji28]
Tulivyojitapa wakasema tunaingia na matokeo yetu Cha ajabu na wao leo waliingia na matokeo Yao Kwa jinsi walivyojinasibu mixer kuchoma kuku ...mpk pale zouma alipowaumbua[emoji23]Mkuu kwani ninyi mlivyopata sare akili iliwakaa sawa.
Kujidai ni kwa kila timu kabla ya mchezo na baada ya mchezo.
Mfano leo mbano wote mnasema mnaenda kushinda. Tayari mna matokeo mkononi au mfukoni. Kwenye mpira lazima tujitape kabla ya mechi. Na baada ya mechi.
Ukifungwa umesidiwa mbinu ukishinda umemzidi mpinzani wako mbinu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo ss hayatuhus kinatuhusu ni unbeatenUwanjani leo alikuwepo tajiri kutoka Czech anataka kununua asilimia kadhaa za hisa hii klabu Westham... Kwa matokeo haya naona jamaa kashaadila cheki kabisa...
YNWA