Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sisi sio kituo Cha mabasi Kama lilivyo team lenu....ukiiangalia mpira wa wanaume Liverpool una enjoy....sio ule wa kupaki mabasi mpaka keroo
Hawa Jamaa kwakupaki basi ni balaa wanaliacha tu mbele Fulushi Lukaku
 
Hata hivyo kwa aina ya Wachezaji tulionao mpaka sasa kuwa ndani ya Top Four ni jambo la kushukuru kulinganisha na wenzetu walivyojipanga.
 
Player ratings
Liverpool vs Manchester City player ratings.

Liverpool:

Alisson (7),
Milner (5),
Matip (7),
Van Dijk (6),
Robertson (7),
Fabinho (7),
Henderson (5),
Jones (6),
Salah (9),
Jota (6),
Mane (8).

Subs used: Firmino (6),
Gomez (6)

Sky sports.

Leo Henderson amekua na gemu mbaya sana pasi nyingi zilipotelea kwake. Sijashanga kuona Sky wakimpa rate ya 5.

Milner man huyu babu kumlaumu ni bure kabisa Foden na Grealish sio watu wazuri kabisa. Na zile pasi za Rodri ilikua tafu sana huyu babu kukaa sawa.

YNWA
Kabisa na kacheza mpira usio na kifani maana kumng'ang'ania mtu kwa kumshika mkono si mchezo mpira ufundi bwana wee
 
Kitu cha mwisho ninachopenda kusema ile Liverpool iliyojengwa kwa gharama yamwaka 2017/18 naona imeshaanguka.
Ni muda wa kujenga tena ikiwa Mabosi itawapendeza
 
Mashabiki wengi wa chelsea bado mpira hawajui.

Chelsea yao haina huwezo wakuchukua ubingwa sijaona mchezaji wa kuwapa ubingwa pale.na lukaku wao saizi wamekaa kimya,walianza kumlinganisha na salah.
Salah yule aliye funga goli la kimataifa jana? Ndio alingane na lile furushi
 
Kama unavyofahamu, N'Golo Kante amekuwa anasumbuliwa na matatizo ya moyo ambayo mara yamekuwa yakimfanya ata kupoteza fahamu.

Na tayari nyota huyo ameripotiwa ana maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19, kocha Thomas Tuchel alipohojiwa amesema:
"Kante ana dalili za Uviko-19, lakini sio dalili kubwa, ni za mwanzoni tu."

"Kwahiyo ana nafuu. Sitaki kuingia ndani. Mwanzoni kulikuwa na wasiwasi, naye alichukua kila tahadhari ili asipate maambukizi."

"Kwa bahati mbaya, amepimwa na kuonekana ameathirika lakini tunamjali sana, kama tunavyowajali wachezaji wengine. Tunafanya mawasiliano naye kila siku."

"Madaktari pia wamekuwa wakiwasiliana naye na tumekuwa tunampa ushauri na ushirikiano wetu, yupo kwenye njia sahihi."
 
Player ratings
Liverpool vs Manchester City player ratings.

Liverpool:

Alisson (7),
Milner (5),
Matip (7),
Van Dijk (6),
Robertson (7),
Fabinho (7),
Henderson (5),
Jones (6),
Salah (9),
Jota (6),
Mane (8).

Subs used: Firmino (6),
Gomez (6)

Sky sports.

Leo Henderson amekua na gemu mbaya sana pasi nyingi zilipotelea kwake. Sijashanga kuona Sky wakimpa rate ya 5.

Milner man huyu babu kumlaumu ni bure kabisa Foden na Grealish sio watu wazuri kabisa. Na zile pasi za Rodri ilikua tafu sana huyu babu kukaa sawa.

YNWA
Hendo was off. Matip alistahili angalau 8 sio 7. Milner kwa aina ya mechi na wachezaji aliokuwa ana wa face siwezi kumlaumu tofauti yake kiumri na Foden ni 14 years. Huwezi ku expect angeenda toe to toe na yule dogo, miguu inakataa.

Foden level yake angekabwa na mtu kama TAA. Halafu pia TAA angekuwepo City wasingekuwa la ile luxury ya kupanda wanavyotaka kwenye ile wing ya kushoto. Angalia kule kulia walikuwa hawana ujanja maana Robbo mtu wa kazi.

All in all tuombee vijana wetu wawe fit tu mapema maana hizi injury zinatuharibia mipango.

VvD bado hajarudi kwenye ubora wake sijui atachukua muda gani kukaa sawa maana saivi yeye ndio anacheza kwenye kivuli cha Matip. It's about time Gomez aonyeshe uwezo wake vizuri.
 
Leo inahitajika nidhamu sana kwenye ulinzi, narudia tena nidhamu kwenye ulinzi, kosa lolote halitatuacha salama , mbele kule ninauhakika kuna goli 2+
Nidhamu gani wakati Muna beki mbovu zinapitika kizembe. Saiv ndio tunajua Allison alikuwa Shati tu sema beki ndo ilimbeba
 
Wiki hii nilielezea sana kuhusu madhaifu ya Timu ingawa kuna Watu hawakufurahia nilichoandika! Lakini niseme kwa Ufupi kuwa Hawa ndiyo wachezaji pekee waliobaki Liverpool.

Kipa;
- Alisson pekee

Mabeki:
- VVD pekee

Viungo:
  • Fabinho
  • Jones

Washambuliaji
  • Salah
  • Mane

Kiufupi Timu ina wachezaji 5 tu, waliobakia wote wababaishaji.

Kwenye Benchi ndiyo kabisa hakuna kitu.
Mkuu unamkosea saaana heshima Matip pamoja na Jota.
 
Ulipata majeruhi ya Vvd ng'ombe wewe. Ilikuwa kutwa kulialia plus vipigo.


Yaani benchi lako zimejaa takataka.
Halafu ligi ikaisha uko juu yangu?.....
We Ni fala Sana....mwaka Jana mmesajiri wachezaji wa mafungu mafungu ....pamoja na majeruhi yetu tulimaliza juu yenu....Sasa mwaka huuu ...ngja uone
 
Tuiogope kwa kipi?

Timu imeshapachikwa ukuni mara 6 tuiogope kwa kipi?

Mwaka jana tumemtoa mumeo madrid ulikuwa hujazaliwa?
Sisi sio kituo Cha kupaki mabasi.....tuna uhakika na forward zetu .....sio nyie...masajir mapipa tena kwa hela kibao halafu halifung
 
Nyie kuku huu msimu mutatoboka Sana hamuna beki Tena was kuzuia magoli.
Kumbuka pamoja na kufungwa magoli hayo bado sisi ndio tuna attack kali kuliko nyie wengine wote.

Wakati huo bado tuna room for improvement. Meaning tunaweza kufanyia kazi makosa yetu tukaruhusu magoli machache zaidi na pia ku improve kwenye kumalizia nafasi.

Meaning tuta concede less while scoring more. We are going to become unstoppable.

Haters gonna hate hehehehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom