lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,480
Mtaendelea kujisifia 16 unbeaten lakini mlisahau 2018/19 Man city alichukua ubingwa kwa sababu ya ujinga huu huu wa unbeaten, na mnasahau kuwa droo nazo zinazopoteza point nyingi16 Epl matches still unbeaten.
Mfano sisi tumefungwa tumejiuliza tumeshinda tunaongoza ligi, ninyi na unbeaten yenu mko chini yetu, simple maths

