Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

We jamaa nakuoneaga huruma sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi Sina shida na magoli ,ila tunavocheza tu ,kudadekiii nasikia rahaaaaa[emoji4][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mmeona mpira wa kitabuni ,kuku nyie ....
 
Banian mbaya kiati chake dawa
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
Goli la Salah ni goli la computer binadamu hawezi kufunga hilo goli, sijui alimkwepaje Benardo Silva na Laporte, Kudos Salah
Naichukia Liverpool ila Salah niko pamoja naye
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom