Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Chelseafc wana utu sana,hakunakitu kinacho uma kama kufungwa final ya Euefa,kama Chelsea aliweza kumfunga city mara3 mfululizo unadhani angeshindwa kumfunga tena kwenye epl tena nyumbani,alichofanya Chelsea alimwachia makusudi city ilikumfariji Kwa machungu aliyoyapata,sometime kwenye soka lazima tuwewaungwana usipende kuona mwenzako analia kila siku kwaajili yako.
Chelsea haina tofaut na dem Malaya ambaye akikutana na bwana mpya anajidai kukaza anabana mapajaa mwisho wa siku anaachiaaa....
 
Its simpo ndugu upande wa Milner alisimama Salah na Henderson. Sasa defending inakua most likely ni Henderson afanye msaada kwa Milner huku pia kama inalazimu na Salah asaidie. Ishu jana Henderson gemu ilimkataa na kumsababishia babu Milly shinda zote zile.

Ukitazama upande wa kushoto Jones alimsaidia sana Robertson offensive na baada ya Manchester City kuona vile wakaamua sasa mashambulizi yao yapitie kwa Milner huku pia wakimtafutia kadi ya njano ya pili 😂😂😂and Pep was damn furious kwa mara ya kwanza nimemuona akitgemea tuwepungufu ili apambane apate ushindi aisee..kwa Klopp ni levo zingine kabisa.

VVD duh huyu mwamba ile injury must have scared the boy kiasi mpaka sasa ule usolid wake pale nyuma sio kama zamani. Let's be positive atakaa sawa na uzuri he make the others better and better..

YNWA
Pep mwenyewe alishawahi ku admit kuwa Liverpool ndio team ngumu kabisa aliyowahi kukutana nayo.

Pep Guardiola Names The Most Formidable Opponent He Has Faced In His Managerial Career

So alijua kabisa game ile muda wowote kinatoke chochote ndio maana akataka apate advantage ya aina yoyote ile ili aweze kushinda.

Kitu ambacho nili observe kwenye ile game ya jana ni kuwa makocha wote wawili wana heshimiana sana (tactically). Hakuna alieingia kwenye game akiwa amevimba kichwa kuwa atampasua mwenzake. Nadhani ndio maana hata first half kila team ilicheza sana kwa kujihami na kushambulia kwa kushtukiza.

Even the post match interviews kutoka kwa wachezaji kama KDB, Mo, Robbo na Foden. Wote waliongea vizuri. Kila mmoja alionyesha kuheshimu uwezo wa wapinzani wake.

Pep na Klopp nao pia.

Kuhusu van Dijk nadhani ni suala ambalo litamchukua time kidogo mpaka akae sawa. Kutoka kukaa nje msimu mzima baada ya career threatening injury sio mchezo.

Sisi kama mashabiki tunajua uwezo wake. Tumpe muda tu anahitaji kurudi taratibu. Akirudi form ana insipire wote wanaomzunguka pale nyuma na inakuwa ngumu kuona errors kwa mabeki wote hata kipa so hatuta concede magoli ya kijinga.
 
Pep akikutana na wanaojua huwa ana touchline antics kama Mourinho 😂😂
20211004_092050.jpg
 
Mpaka sasa najiuliza why Milner's foul on Bernardo Silva, just before Salah's goal, went unpunished, with Guardiola later booked for his protests.
 
Salah goli 6
Mane goli 4
Jota goli 3

Haya lete takwimuu ya forward zenu za kuagiza Kikuuu....
Hatari ya Chelsea kila mchezaji ni mfungaji, kwa msimu huu tu wachezaji 14 wameshafunga magoli, leteni idadi ya wachezaji wenu waliofunga magoli kama hata wanafika 5
 
Tungedraw na Manure ningelalamika kama nilivyolalamika tulivyodraw na Chelsea kwasababu ni Timu za kawaida tu
Man City went to Anfield and got a single point. Chelsea did it with 10 men

Tuchel does not get the credit and respect he deserves
 
Mkuu unamkosea saaana heshima Matip pamoja na Jota.

Kama unatembelea historia sawa! Lakini kama unaangalia Current situation basi sasahivi Matip amekuwa wa kawaida! Siangalii watu wanamuonaje bali naangalia makosa yanayopelekea tunafungwa magoli ya ovyo. Kumbuka Matip ni CB.


Kuhusu Jota sitoweza kusema ni Mbovu lakini bado hajawa mchezaji wa Kumueka group la kina Mane, nampa muda approve hilo! Na moja ya Vigezo ninavyomuangalia ni Consistency, Kwa sasa Jota hana Consistency ndiyomana unaweza kumuona anafunga mechi 3 mfululizo then anapotea mpaka tunaulizana.

Hivyo Jota approve Consistency kwanza ndiyo tumuhesabu katika ule Utatu mtakatifu wa MANE-JOTA-SALA.
 
"If claims are not supported by proof, they are used only by the fools as evidence"

Yani wewe Jamaa Vijana wanaopenda kubishana humu unawaona na post zao lakini unaniprovoke na mimi nianze kuandika post za mabishano wakati sitaki.

Mimi hupenda kuandika na kupotea bila ya kujali nani atakuja kunichokoza ili abishane.
 
Man City went to Anfield and got a single point. Chelsea did it with 10 men

Tuchel does not get the credit and respect he deserves

Man City went to Stanford Bridge and took all three points 😂😂
The same Man City came to Anfield and managed to get only One point. 😂😂

Ni Joking tu hiyo nimeandika kukuonesha kuwa ulichocopy na kupaste hakina maana yoyote zaidi ya kujifariji.
 
Yaan huu uzi wetu wamejaa mashabiki wa timu nyingine hasa chelsea...wanatuogopa sana

Ndiyo njia pekee wanayoitumia kuipa Promo Timu yao! Si unajua Timu ambayo hata Uwanja na Jina haina bali imekodi inalazimisha kuitwa Timu kubwa hivyo njia pekee iliyobaki ni kupita Majukwaa ya Liverpool na Man United ambako ndiko wataweza kuonekana na Mashabiki wa Timu kubwa.
 
Ndiyo njia pekee wanayoitumia kuipa Promo Timu yao! Si unajua Timu ambayo hata Uwanja na Jina haina bali imekodi inalazimisha kuitwa Timu kubwa hivyo njia pekee iliyobaki ni kupita Majukwaa ya Liverpool na Man United ambako ndiko wataweza kuonekana na Mashabiki wa Timu kubwa.
Uwanja ni mdudu gani?

Mabingwa wa Ulaya 2020/2021 tunatoka mbele Wanaume, sasa jipitishe na kanga yako 1 uone utavyogombaniwa kwa mabanzi kama mpira wa kona.

Chelsea ni timu kubwa sababu inakaa pa1 na Wanaume waliowahi kubeba makombe ya Ulaya ikiwemo na UEFA SUPER CUP.

Kama hujui chochote kaa kimya.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ndiyo njia pekee wanayoitumia kuipa Promo Timu yao! Si unajua Timu ambayo hata Uwanja na Jina haina bali imekodi inalazimisha kuitwa Timu kubwa hivyo njia pekee iliyobaki ni kupita Majukwaa ya Liverpool na Man United ambako ndiko wataweza kuonekana na Mashabiki wa Timu kubwa.
Hii timu inajifia taratibu, angalia hata washabiki haina, wako akina Ngwaba tu hapa uswazi wanapiga porojo
1633335738007.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom