Kamugy T
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,110
- 1,226
Ukiwa unafungwa usiwe unapotea jukwaani pimbi wewe na leo huyo mume wako man shity tunambaka
Tukiweka kikosi Cha Chelsea na liverkuku hapa mezani ..wachezaji wa liverkuku watakaoanza hawazidi watano.
Allison sub ya Mendy.
Vvd sub ya Silva.
Fabihno sub ya Joghihno
Salah ataanza.
Mane sub Werner.
Kwa ufupi liverkuku kwa Sasa hamuna kikosi Cha kusimama mbele ya Chelsea.
Chelsea tuna wachezaji wenye na uwezo wa kuanza moja kwa moja kweye timu yenu ..
Odoi ataingia moja kwa moja.
Barkley ataingia moja kwa moja.
Ziyech ataingia moja kwa moja.
Tammy angeingia moja kwa moja.
Tomori na yeye hivyo hivyo.
Ruben ataingia moja kwa moja.
Ninyi Muna kikosi Cha Kwanza tu ambacho Hadi January kitakuwa kimechoka maana Kila game ndio hicho hicho.