Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wa Chelsea walio wengi akili Ni chachee mno.....Ila ukweli Ni kwamba wanaiogopa Sana LIVERPOOL
Mkuu hapa ni vijana warejee hizi mechi za kimataifa wakiwa wazima wa afya aafu mechi ya kwanza baada ya tupo nyumbani kwa Watford chini ya kocha mpya mzee Ranieri.

Japo hatuna utulivu pale nyuma nipo na imani tuna jambo letu kwenye Ligi msimu huu.

YNWA
 
Fact..

Liverpool remain the sole Premier League side yet to lose in the top-flight this season (W4 D3), extending their unbeaten run in all competitions to 19 matches (W13 D6) since their 1-3 defeat to Real Madrid back in April.

Manchester City conceded more goals this evening (2) than in their previous seven Premier League games combined beforehand (1), whilst they faced four shots on target against Liverpool, only two fewer than they had in their six other Premier League matches combined this season (6).

Mohamed Salah has either scored (9) or assisted (3) in eight of his nine games in all competitions for Liverpool this season, having a direct hand in more goals so far in 2021-22 than any other Premier League player (12).

Liverpool had just one shot in the first half, their fewest in the opening 45 minutes of a Premier League match at Anfield since January 2017 against Chelsea (also one), a game that went on to finish 1-1.

Mohamed Salah has now scored in seven matches in a row in all competitions, equaling his best ever scoring run with Liverpool, doing so for the first time since April 2018.

YNWA
 
Adjustments.jpg
 
Liverpool ka fungwa goli sita sawa na man u sasa sijui unaongea nini,

Msimu ulipita liverpool karuhusu magoli mengi zaidi ya Chelsea, ilikuwaje tukamaliza above chelsea!

Mashabiki wengi wa chelsea bado mpira hawajui.

Chelsea yao haina huwezo wakuchukua ubingwa sijaona mchezaji wa kuwapa ubingwa pale.na lukaku wao saizi wamekaa kimya,walianza kumlinganisha na salah.
 
Kubali tu, kwamba chelsea ina beki bora.

Angalia timu iliyoruhusu goal chache katika major league za Europe.

Halafu wewe umekaa mbwinde huko unasema tuna beki mbovu?

Mkuu timu inakuwa bingwa kwa kutokufungwa na sio kuruhusu magoli machache.
 
keita, ox, origi nk hizo ni takataka zingine ambazo hazina msaada wowote kwa timu yani kifupi benchi lipo tupu

Wiki hii nilielezea sana kuhusu madhaifu ya Timu ingawa kuna Watu hawakufurahia nilichoandika! Lakini niseme kwa Ufupi kuwa Hawa 👇 ndiyo wachezaji pekee waliobaki Liverpool.

Kipa;
- Alisson pekee

Mabeki:
- VVD pekee

Viungo:
  • Fabinho
  • Jones

Washambuliaji
  • Salah
  • Mane

Kiufupi Timu ina wachezaji 5 tu, waliobakia wote wababaishaji.

Kwenye Benchi ndiyo kabisa hakuna kitu.
 
Unamjua Jesus (Yesu) na Chiesa (Kanisa) ? Waliifanya nini hiyo beki nzuri?

Kumbuka msimu huu Liverpool hatujapoteza game hata moja wakati nyie tayari Yesu na Kanisa walishawafirimba.
Tupe msimamo... Hujafungwa matcch hata moja af mwanaume niko juu yako.


Aaaaa ona aibu basi.
 
Mashabiki wa Chelsea walio wengi akili Ni chachee mno.....Ila ukweli Ni kwamba wanaiogopa Sana LIVERPOOL
Tuiogope kwa kipi?

Timu imeshapachikwa ukuni mara 6 tuiogope kwa kipi?

Mwaka jana tumemtoa mumeo madrid ulikuwa hujazaliwa?
 
Tuendelee kuwaombea chelsea wazidi kupaki mabasi ili wazidi kujisifu hawafungwi wakati wakipachikwa hata moja kwisha habari point zimeenda.
Wewe ng'ombe ulitupachika ngapi point zikaenda?
 
Tungedraw na Manure ningelalamika kama nilivyolalamika tulivyodraw na Chelsea kwasababu ni Timu za kawaida tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom